Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turn EATV now kwenye kipindi chake cha Diary,anamtabiria mambo mbalimbali ya maisha yake
Turn EATV now kwenye kipindi chake cha Diary,anamtabiria mambo mbalimbali ya maisha yake
Mbona kamtabiria mazuri tuu?it mean hatokutana na lolote baya hapo mbeleni?
Siunajua kitu kinarushwa hewani,,, anakomesha haters wake
Mbona kamtabiria mazuri tuu?it mean hatokutana na lolote baya hapo mbeleni?
It's okay ikiwa anaamini hayo mambokuna sehem alimwambia ataumwa sana alafu na stress kibao
It's okay ikiwa anaamini hayo mambo
Hapana siamini hata kidogo