Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii



Pole, kwani wewe mpaka leo hii unasikiliza Clouds FM, mbona redio ziko nyingi siku hizi?
 
Hata kama cloudsfm ni private media, kisiasa hawaja declare kuwa wao ni ccm au chama gani. Wanajiita 'redio ya watu'
asa cha kusikitisha ni pale wanaposhindwa kuwa 'political neutral'


Unapokuwa na watangazaji wasio na taaluma lazima na maadili yatayumba tu.
 
Hii thread haina mashiko coz hakuna aliyekulazimisha kusikiliza radio ya watu... Kama unataka kusikia mazuri ya chadema anzisha station yako.
 
Kuna maswali mengi yana nisumbua kuhusu ili swala la lady jaydee na CLOUDZ FM
1.lady jayd anamexhatoa nyimbo kibao sana hapa Tanzania na zimetamba sana hata kwenye radio nyingne,na kuna kipndi hzo nymbo zake cloudz zilikua hazpigwi sana lakin hujawai kulalamika why iwe hii joto hasira???
2..nyimbo ni nzuri na inapigwa sana kwenye vituo vingne mfano EA RADIO...Je jaydee unataka nini cloudz fm au una draw attention ya mashabiki??
3.basi kama kuonewa jaydèe kaanza kuonewa kitambo coz hata cjawai kumsikia kapewa shavu hata kwenye fiesta,mbona ilo hujaxema??
4.kuna uhusiano wowote kati ya kutopewa promo kwenye joto hasira na kuondoka kwa gadner cloudz fm?
6.unapo walaumu cloudz pekee yake una hashiria cloudz ndio radio kubwa tz.japo weng hawataki
 
Watangazaji baadhi wa clouds wanalewa sifa na ndio chanzo cha kukichafua kituo hicho cha utangazaji ambacho kina umaarufu. Viongozi na wamiliki wa clouds wawe macho na jambo hilo.
 
Mwanamuziki na Mjasiriamali mahiri Tanzania,Judith Wambura alias Lady Jaydee amemjia juu Mkurugenzi wa Clouds Media,Ruge Mutahaba na kumwonya aache kumfuatilia mara moja. Jaydee aliyasema hayo leo alipokuwa akihojiwa na Kiss FM. Alitumia muda mwingi kumlaumu Ruge kwa kumwingilia na kujaribu kumvurugia kimuziki na kibiashara. Jaydee alitoa mfano mmoja wa hivi karibuni ambapo Ruge aliwakataza Barnaba na Linah kwenda kufanya onesho katika ukumbi wa Nyumbani Lounge,onesho ambalo tayari lilishapangwa. Jaydee amemwonya Ruge kuacha kumfuatafuta mara moja. Baada ya Anti-Virus ya Sugu sasa ni Lady Jaydee. VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:
Time will tell....

Sugu was right, and now Komando Jide.
 
WATAALAMU NA WAFUKUNYUNGU WA MAMBO,WAMEGUNDUA KWAMBA CHANZO CHA BEEF KATI YA JIDE NA CLOUDS NI WIMBO JOTO HASIRA. INASEMEKANA MASHAIRI YA WIMBO JOTO HASIRA NI SUBLIMINAL DISS KWA RUGE MUTAHABA NA CLOUDS KWA UJUMLA. HABARI ZAIDI ZINAELEZA KUWA, RUGE ALIKASIRISHWA SANA BAADA YA KUGUNDUA MAUDHUI YA WIMBO JOTO HASIRA, NA KUAGIZA WIMBO HUO USIPIGWE REDIONI. YATATHMINI MWENYEWE MASHAIRI HAYO :

Chorus:
Hili joto hasira, ambaa
Upepo hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa.
Foleni njia nzima, ambaa
Na pesa hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa

VERSE 1:
Kila siku nimenuna
Kwanini tunagombana
Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa
Na sioni hata maana
Ya si kuzinguana
Yaani kila mtu anajua sana
Au yote sababu ya?, sababu ya?
Rudia Chorus:

VERSE 2:
Mazao twalima wote
Sahani wavuta kwako
Kama chakula tule wote
Kwanini chote kije kwako
Kisu mpini umeshika wewe
Vitisho kunikata mimi mmmmhh
Au yote sababu ya? Sababu ya?

Chorus:
Hili joto hasira, ambaa
Upepo hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa.
Foleni njia nzima, ambaa
Na pesa hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa

Hook:
Uuuuh, sahau sahau shida
Oooh ishi ka ziliisha jana
Say goodbye joto, Rest in Peace Shida
Knock, knock money

RAP:
Wenyewe wanasema usawa unakaba
Na rafiki wa kweli ni mama na baba
Hawa wengine wala usiwaamini
Maana binadamu wa sasa wana roho saba
Watakuwa na wewe kwenye raha
Na hawatakuwa na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu peke yangu
Niruke kivyangu na woga niliukataa
Aaah!! Nabadilika kama saa
Na Siku hazigandi na sitokataa tamaa
Wamejaa, usaliti na chuki
Watu wa karibu wanageuka mamluki
Jenero nasonga iwe joto au baridi naamini tutashinda
Kama mbwai iwe mbwai barida
We make more money rest in peace shida
Ukinuna unataka tunune wote
Ukilia unataka tulie wote
Vita vyako tunapigana wote
Tukishinda tushinde au bora tufe wote
Kama kulima kote tumelima wote
Hata kupanda kote tumepanda wote
Kupalilia tumepalilia wote
Aaaargggh !!! nashangaa sasa mbona hatuvuni wote??


Chorus:
Hili joto hasira, ambaa
Upepo hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa.
Foleni njia nzima, ambaa
Na pesa hakuna

Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa
MWISHO
 
Huyo boss wa clouds amehusika vipi hapo?
 
kama kweli Ruge kakurupuka kukasirika kwa mashairi hayo basi atakuwa ushuzi, na anatumia kichwa kubebea masikio...
 
mtu uwa hawi mpiganaji mpaka adhurumiwe, watu daily wanailalamikia clouds lakini wengine hawaamini kwakuwa mambo yao yanawaendea poa siku wakiwachoka wakaacha play nyimbo zao ndo wanajifanya wapapambanaji.
nime like na pia nakupa 5 nyingine
ukitaka kuelewa staili ya kucheza ni vyema nawe uingie ucheze,sasa binti machozi nae anacheza staili waliyokuwa wakicheza kina sugu nadhani anaelewa sasa kwanini ilikuwa vile kipindi hicho
 
Lakini hao hao si ndio Waliombeba ....huyu Mama atakuwa ana stress...
 
Siku zote tunasikiliza clouds na tutaendelea, hapa Mchomvu kule Millard aaah watasubiri sanaaa..
 
Ama kweli dunia hadaa na hakunaga rafiki wa kudumu. JD mbona amepewa promo sana na clouds?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…