Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Hivi kuna jamaa lingine linamkojoza tena???[emoji85] [emoji85] [emoji85]
......niliwahi kusikia kuwa, eti wanawake waliochelewa pata uzazi (kuzaa).....huwa hawakubali kubanjuliwa na condom....siku zote wao ni pekupeku tu.....
 
Nyie nao kiboko aisei..! Mnaingiliwa na kila mijoka, mara kobra, black mamba, kifutu, anakonda na michatu kazi hiyo mitaro mwisho itakuwa mabonde sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]
kule kunajiunda kila baada ya joka kutoka na kujiandaa kupokea nyoka mwingine
 
Huyo mnigeria achunguzwe kama yupo hapa nchini, asijeanza kutapeli watu kwa mgogo wa JD.
 
Wapopo kuoa ni kama mradi mwingine..lakini ndoa ni jambo la kheri.
 
masikini dada wa watu sijui kanyonywa wapi hadi akili haifanyi kazi ,wa Nigeria ni matapeli hatari lazima alizwe Time will tell

Mbona unamtisha, kwani wansume wa nchi hiyo wakoje kwenye mahusiano?
 
Mmh si angeenda kimya kimya akatushtukiza kwa ndoa jamani. Akimwagwa ntamhurumia kweli sio kwa masimango atakayoyapata
 
Mmh si angeenda kimya kimya akatushtukiza kwa ndoa jamani. Akimwagwa ntamhurumia kweli sio kwa masimango atakayoyapata
Kumbe uko huku enh???

Asante sana kwa ulichonifanyia...
 
Back
Top Bottom