Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 532
- Thread starter
-
- #21
yaani anagegedwa na jini!!??
Some things are better left unsaid
Nyimwa vyote ila usinyimwe uwezo wa kujua lipi la kusema na lipi si la kusema!!
Hii couple lahaula,wamekosa zali hilo!!
Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r
Some things are better left unsaid
Najaribu tu kufikiria aina ya tiba ambayo anadai kaipata na anayo....
Hilo lotarudi tena,dawa ni kuokoka.