Lady JayDee na jini mahaba!

Well said mkuu, wanasema " if the first idea is not absurb there is no hope for it"
Wengi tumezoea idea zilezile, unapokuja na idea flani tofauti kila mtu anakuona kituko. Itafika siku jide atakuwa amefungua njia kwa jamii kuUngumza matatizo yetu ambayo yanagusa pia sehemu nyingine ya jamii ambayo ni voiceless.
 
Hana lolote jini mahaba anafuata wAtu wenye mvuto..sasa jay dee jini mahaba anafuata nini.au cd za miziki

Dunia kitu cha ajabu sana, unaona waliopeleka maombi ya kuumbwa wanavyopenda wao na si apendavyo mungu walivyonadharau.
Anyway, siku tukiitwa Negro tunarusha ngumi, kumbe ubaguzi upo ndani ya binadamu, ni issue ya time na mazingira tu!!!!!!!
 
Lady jeydee ana bahati ya kupata pesa lakini hana bahati ya maisha.
 
[h=1]Lady Jaydee: Demons assault me[/h]Updated 4 hrs 24 mins ago
Tanzanian songbird Judith Mbibo alias Lady Jaydee shocked fans early this week after she alleged that evil forces were the reason she hasn’t gotten a child over the many years she has been married to her celebrity husband Gardner.
A story carried by a Tanzanian tabloid has it that during an interview on Sunday, the Nitafanya (featuring Kidum) and Single Boy (featuring Ali Kiba) singer alluded that evil spirits visit her in her sleep molesting her sexually.
“Often, demons terrorise me sexually in my sleep,” she is quoted to have said.
The shocker statement by the 1979-born award-winning singer was the first personal statement she has made on her and her radio presenter boyfriend on their marriage that spans more than six years.

Standard Digital News - Kenya : Magazines : Lady Jaydee: Demons assault me

 
Hii ilishaletwa humu kwa title ya 'Lady Jaydee na jini mahaba.'
 
n kwel au anatafuta muendelezo wa kpnd chake cha diary of lady jd il azd ku2shka zaid
 
Namtakia heri JD, Sitaki kuandika mengi yanayoweza kumkwaza hasa mambo ya Imani hasa nikijua JD ni mkristo na mume wake ni Muislam(sina uhakika sana na hili) hapo ni kugusa maisha ya wenza hawa.

Lakini niseme japo kidogo tu Lady JD sijui level ya imani yake kwa Mungu kupitia Yesu Kristo lakini ajue hakuna njia yoyote ya kupambana na majini nje ya jina la Yesu! njia zingine zote ni za kupambanisha majini tu na mwenye nguvu ndio anapishwa lakini tatizo litarudi kwa nguvu zaidi tena.

Mnapokuwa wenza wenye imani tofauti ina changamoto zake hasa mnapokuwa na vita kama hii ya JD!!

Mwisho Lady JD mtafute K Bazil yule mwanamuziki aliyeokoka ambaye aliimba nyimbo na Stara Thomas (Riziki) amini hutojuta ukikutana nae.Yule kijana alikumbana na vitu vya hatari mno lakini sasa ameshinda na anamtumikia Yesu(ni mchungaji sasa na kama mnakumbuka alisoma pia pale UDSM).

Kama Lady JD umesoma ujumbe huu usipuuze mtafute K Bazil uzungumze nae na hili ombi langu maalum kwako najua mtaongea lugha itayowafikisha mahala salama kwako.
 
Gadner Ameshindwa kazi hadi Majini yameamua kuingilia kati.
 
hujafa hujaumbika nyie mnaocomment vibaya shauri zenu, temeni mate chini muanze kusali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…