Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Huwa namkubali sana ila huo wimbo usije kuwa unahusu taraka maana huwa hachelewi kutunga matukio yanayomtokea karibu tena jd.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayeye ana rudi kusaka kiti chake kama King Kiba?
Uzuri wa jay Dee watu wala huwa hawahitaji video ili wakubali kazi zake. . Trust me, hata asipotoa video atahit sana tu......Jay Dee ni mashine nyingine kwa Tz hakuna
Anasubiri stress za talaka zipoe.Pole sana Jaydee!Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo.
Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu na kuwataka wasubiri kwani kwa kipindi hicho alikiri wazi kuwa hana kitu cha kuimba wala hakuwa na mizuka ya kuimba, kutokana na mambo yake ya hapa na pale na kuwataka wapenzi wake kwenye muziki kudumisha amani.
“Karibu tu lakini sina lolote kwa sasa, sina kabisa na sitakuwa nalo kwa kipindi kirefu sana, yaani sina, sina, sina. wapenzi huvuta subira mashabiki huhama hama. Wapenzi vuteni subira na dumisheni amani” Aliandika Lady Jaydee.
Baada ya ukimya na mashabiki kuanza kuhoji juu ya ukimya wake kwenye muziki, mwanadada Lady Jaydee alikuja na kuweka wazi kuwa amekuwa kimya lakini hawezi kufanya lolote sababu hakuwa na jambo la kusema au kuimba kwa wakati huo na kuwataka tena mashabiki na wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu.
“Ni kweli sijasema ,ni kweli nimekaa kimya lakini siwezi sema tu endapo sina cha kusema mnaweza kuvumilia? Kama ninavyo vumilia? Napumzika tu sina cha kufanya mvumilie nitarudi sema sina cha kusema na siko tayari kusema, nitasema nikiwa tayari kusema” Alimaliza Lady Jaydee.
Lady Jaydee sasa amepata cha kusema na amepata ya kuzungumza na ndio maana ametangaza rasmi ujio wake mpya kwenye muziki wa bongo fleva, Jide amesema kuwa baada ya siku 30 kuanzia leo atasimama tena.
Mbona nafasi kubwa sana kutosha kila msanii haihitaji kiti wala kigoda? Sema mashabiki kwa ushabiki maandazi hadi mnaibua mabifu ya buuureeeNayeye ana rudi kusaka kiti chake kama King Kiba?
waambie hao hawajielewi, jide kaanza kuimba toka huyo domo wao hajazaliwa sasa sijui wanataka ajipange nnnyie mnaosema jide ajipange nafikiri wengi wenu ni kizazi cha diamond music time.ila kama mngekuwa mnjua muziki wa bongo.mgejua jide katoka wapi na akina nani.wenzake wote wamepotea ila yeye bado yupo.leo hii unasema ajipange..kwa lipi jide ana kipaji na muziki anaujua.sana..nyie ndo mnamlinganisha jide na watoto wadogo kwenye game.
Au kuna nyimbo inayoitwa sema anataka kutoaHii taarifa yako neno kusema sema limetokea Mara za kutosha