Lady Jaydee: Nilikuwa mwizi wa simu, sio hela..

Jide alikuwa ni personal project ya Ruge from word go, kila aliyekuwa karibu analifahamu hilo. Tofauti zao zisimfanye aukwepe ukweli huo na pia ukaribu wao ulikuwa ni zaidi ya ukaribu back then.
Mike Mhagama ana mchango mkubwa sana kwa jinsi alivyomtangaza na kuutangaza muziki wake katika vipindi alivyokuwa akiviendesha.
 
Kuna viazi wameugeuza huu uzi kiasi kwamba unaweza usijue kama anazungumziwa jide
 
Mike Muhagama na Monica Mfumia kitambo sana,Monica yupo wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ