Bima ina limit.Gharama nyingine alitoa yeye.Kibongo bongo gharama zote zililipwa na bima. Kama kachangisha wanaoamini ulokole wake kazi kwao
Labda kama haujakutana na scenario za kichawi
Huku mavumbini hali mbaya sana mwanamke akimkamata mwanaume mwenye nazo basi anamgeuza zuzu/bwege
Kaokoka katika kanisa la instagramAlafu yeye kaokoka!
Muna akaja kusema kuwa sio kweli ni hasira.Ulishaonaga kipindi mapenzi ya Muna na Casto yamenoga?
MkuuAisee!
Hao wote siwajui.
Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?
Ni nani kwani?
Na huyo LadyN.....who is she?
I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.
Now serve me the tea, please.
NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaa wa Unabii.Kaokoka katika kanisa la instagram
Wasije wakatulaani walokole wa siku hizi wanalaani hatari.Kwa ulokole wa ushoga na Masanja kweli??? Shemeji nae wale wale walokole fake bwana
Hence muanzsha uzi naye ni mnafki au nmeelewa vibaya.LadyNa mara nyingi sio mnafiki. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda unafiki,kujipendekeza,kusifiwa tuuuu na mwisho kabisa kudanganywa.
Huyu kajipambanua na kujiweka kivyake kuna saa mnafiki mkweli,kuna saa mnafiku muongo,anyway bila yeye huu uzi usingekuwepo[emoji23]
Esma mwenyewe wale wale si ndio aliyemsogeza ladyNa kwa diamond na zari. Huyu huyu esma ndo alimvuruga kaka ake.
Hamna mlokole hapo uyo ndo sponsor wa sasa, walokole wanabanduana tuNa huyo mchumba wa kilokole kazi anayo.
Mkuu
what is so special on 4th July?
i have seen this thing trendind today.