Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Labda kama haujakutana na scenario za kichawi

Huku mavumbini hali mbaya sana mwanamke akimkamata mwanaume mwenye nazo basi anamgeuza zuzu/bwege

Ah wapi!

Hakuna uchawi.

Kilichopo ni imani tu.

Na imani is just that, imani tu.
 
Aisee!

Hao wote siwajui.

Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?

Ni nani kwani?

Na huyo LadyN.....who is she?

I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.

Now serve me the tea, please.

NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
Mkuu
what is so special on 4th July?
i have seen this thing trendind today.
 
Bima ina limit.Gharama nyingine alitoa yeye.
Pia ukumbuke matunzo ya kawaida gharama ilikuwa juu yake
Mpaka ada.
Pesa nyingi kweli alikuwa potential Danga.
Bima ilikua ya Patric pia alimkatia mwanae na mkewe
 
LadyNa mara nyingi sio mnafiki. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda unafiki,kujipendekeza,kusifiwa tuuuu na mwisho kabisa kudanganywa.

Huyu kajipambanua na kujiweka kivyake kuna saa mnafiki mkweli,kuna saa mnafiku muongo,anyway bila yeye huu uzi usingekuwepo[emoji23]

Esma mwenyewe wale wale si ndio aliyemsogeza ladyNa kwa diamond na zari. Huyu huyu esma ndo alimvuruga kaka ake.
Hence muanzsha uzi naye ni mnafki au nmeelewa vibaya.
 
Mkuu
what is so special on 4th July?
i have seen this thing trendind today.

Birthday ya USA. 242 years young.

Lotsa fireworks, bbquing, bikinis, tikinis, pool parties, drinking, sexing, etc.
 
Back
Top Bottom