Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Hiyo imani ndo uchawi wenyewe

Na imani si uhalisia. Ni mambo ya kufikirika tu.

Mfano, wewe hapo unaweza kuamini kuwa Ngabu ni prescription drug addict.

Lakini hiyo imani yako si uhalisia wangu. Mimi siyo junkie wa aina yoyote.

Kwahyo inamana hata kule usukumani hujaona wala kusikiaa uchawi wa kutumiana fisi?

Nimeshasikia zaidi ya huo. Hadi Gamboshi nishafika.

Lakini yote ni maneno tu. Kiuhalisia hamna lolote.
 
Kwahiyo inamana hizi dini tunazoamini si uhalisia?

Unaamini(imani) mtoto uliemzaaa na mkeo/mchumba/demu ni wa kwako lakini kiuhalisia si wako
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Munalove ni bongo movie shoga mkubwa wa Lulu Michael na alikua bff wa Wema pia.

LadyN ni dadake Naj Datan ex gf wa Diamond/Baraka The Prince

Nimekujibu NN
Una picha ya huyo LadyN tafadhari?
 
Huyo Peter ana wadhifa mjini?
 
Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.
Mwanamke alikuwa akirudi asubuhi anafungua mlango anaomba msamaha yeye.Alafu mwanamke anasema staki we mlevi huwez mambo!
Duh!! Mtoto kapewa muuza sura mawinguni.
 
Mwanaume mwenyewe alikua anajua mtoto sio wake so alikua anamhudumia kwa mapenzi yake!

Ishu ya mtoto inajulikana mbona mda mrefu so huyo peter anajua alichokua anafanya then walishatengana hao!
Huyo Peter ana wadhifa gani mjini?
 
So Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?
Alafu asiumie.
Mun mjanja sana kachangisha michango Agakhan wakati cost yote ilikuwa covered.
Hahahah eti sperm donor
 
The fourth of July nakumbuka fire works za US embassy nikiwaga msasani kipindi kama hiki wao hawaendagi jangwani
daaahh"" umenikumbusha the fourth of July "" wimbo wa aliyekuwa demu wake NAS ...daahh nilikuwa naupendaga sana Aiseee"""
 

Hivi Mange Kimambi ana ID ngapi humu Jamvini JF?
 
Sasa huyu mama wa marehemu ana mambo siri nzito siri gani? Anaacha kuomboleza kifo cha mwanaye yupo insta kujibizana na walimwengu doooh
Nahisi anajua yupo location anasoma script mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…