Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nenda kwenye jukwaa la siasa kaendelee kuwatetea wanalumumba usituharibie jukwaa kwa kiingereza chako uchwara.
LadyNa mara nyingi anapenda kutetea hata kama ujinga. Alikua karibu na Diamond kabla hata Zari hayuko kwenye picture sema anapenda sana kuingilia familia za watu. Ina maana yeye anampenda zaidi Zarina ambae anatoka na ex wa mdogo wake kuliko kina Esma? Huyu dada ni chawaLadyNa mara nyingi sio mnafiki. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda unafiki,kujipendekeza,kusifiwa tuuuu na mwisho kabisa kudanganywa.
Huyu kajipambanua na kujiweka kivyake kuna saa mnafiki mkweli,kuna saa mnafiku muongo,anyway bila yeye huu uzi usingekuwepo[emoji23]
Esma mwenyewe wale wale si ndio aliyemsogeza ladyNa kwa diamond na zari. Huyu huyu esma ndo alimvuruga kaka ake.
Nimeona aibu mimi kwa niaba ya Alawi na Naj jamani. Mdogo wake mzungu wa rangi mpaka matendo
LadyNa mara nyingi anapenda kutetea hata kama ujinga. Alikua karibu na Diamond kabla hata Zari hayuko kwenye picture sema anapenda sana kuingilia familia za watu. Ina maana yeye anampenda zaidi Zarina ambae anatoka na ex wa mdogo wake kuliko kina Esma? Huyu dada ni chawa
Mimi ameniboa sana alipokosa Penalty hadi akasababishwa sisi Colombia tumetolewa
Kweli tuko wote hivyo sasa mwenzetu anapitiliza kuweka umbea wake mpaka kuingilia maugomvi ya watu live. Sisi wengine tunaingia huku halafu basi. Yeye sasa ptuuuHahahahah bado sijaona kosa la ladyna. Wanawake wote tupo hivyo tena mwenzetu yeye kajiweka wazi kabisa.
Aisee!
Hao wote siwajui.
Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?
Ni nani kwani?
Na huyo LadyN.....who is she?
I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.
Now serve me the tea, please.
NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
Aiseeeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Havutii hata kidogo na make up zake kama kamwagiwa majivu
Kweli tuko wote hivyo sasa mwenzetu anapitiliza kuweka umbea wake mpaka kuingilia maugomvi ya watu live. Sisi wengine tunaingia huku halafu basi. Yeye sasa ptuuu
Ha ha haaaaa
Udaku wa instagram
Nipe jina lako la mule nitakuwa nakurushia post DM usipitwe kucheka na vituko vya nchini.. ili usizeeke mapema kama mimi ninavyocheka na kuzidi kukata miaka kwa kurudi nyuma.
Labda uarabu wa kujichubua[emoji23][emoji23]Na yeye Mwarabu anajikutaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]ule mkorogo kaaahh!!mpk anazeeka!!Na yeye Mwarabu anajikutaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]