Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Huyu na Mange hawajaachana Sana.Mtu yuko UK ila jamani maugomvi yote ya bongo anataka ashiriki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu na Mange hawajaachana Sana.Mtu yuko UK ila jamani maugomvi yote ya bongo anataka ashiriki.
Coco...hujambo?
Well, Instagram sipo kabisa aisee na nimekataa kuwepo!?
Kuhusu kuzeeka, never!
I still look super young [and good too]!
Folks still think I’m in college when fact of the matter is it’s been 15 years since the last time I got one of my MA degrees and almost 20 since I got my professional degree.
As far as my undergrad, let’s just leave it at that hahahaaa.
I don’t look a day over 25!!!
Genetics baby.....blessed and highly favored!!!!
Jirani umekula epsom salt, wala si chumvi ya kawaida. [emoji848][emoji848]First degree almost 20 yrs ago it’s a freaking forever. [emoji3]
Happy 4th of July. [emoji95] [emoji95][emoji95]
Na kila bongo muvi anamjua yaani stori zote anazo![emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani anatushinda hadi siye wabongoMtu yuko UK ila jamani maugomvi yote ya bongo anataka ashiriki.
Sawa sio wa Casto wala wa Peter yeye aliwashwa nini kuanza kutupa list ya madem wa Casto? Aliongea kama nani kama sio kimbelembele? Na kutupa na ratiba ya mazishi juu. Sasa kaumbuka vibaya kimbelembele kimemuisha kuingilia ya watu
2 kg make upHavutii hata kidogo na make up zake kama kamwagiwa majivu
Shukran jazilan.
Hizo drama zipo wapi? Instagram?
Bahati mbaya sipo huko na ID yangu ishaibwa na mmoja wa ma ‘fan’ wangu!
Oh well....
Ofisi zao ziko insta mkuu kwahyo tusiokuwa na insta tunapitwa mengiSiku hizi wasanii lukuki au niko mbali na runninga???
Kick ya laana tu!hayo mambo kwa nini asisema kabla ya kifo...Alikua anataka kiki ameipata
Yuko nje ndo maana jeuri,Mimi bwana ktk maisha yangu hua sipendi mtu aniharibie ktk watu wangu ninaowapenda ukiwagusa hao baasi yaani sikusamehe hata!ndo maana sipendi umaarufu maana najua una gharama zake!Na haogopi kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana!Hii nyumba mlangoni mwake nimekuta michuchumio kibao barazani, yaani hakuna hata kobazi la kiume.
Kwaherini
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umaarufu una gharama kubwa sana watu hawajuagi tu wanaona ni rahisi.Yuko nje ndo maana jeuri,Mimi bwana ktk maisha yangu hua sipendi mtu aniharibie ktk watu wangu ninaowapenda ukiwagusa hao baasi yaani sikusamehe hata!ndo maana sipendi umaarufu maana najua una gharama zake!
Unambwebwe sana wewe jamaa itadhani burucheka!!!!!!Aisee!
Hao wote siwajui.
Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?
Ni nani kwani?
Na huyo LadyN.....who is she?
I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.
Now serve me the tea, please.
NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
[emoji1] [emoji1]2 kg make up