Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Coco...hujambo?

Well, Instagram sipo kabisa aisee na nimekataa kuwepo!?

Kuhusu kuzeeka, never!

I still look super young [and good too]!

Folks still think I’m in college when fact of the matter is it’s been 15 years since the last time I got one of my MA degrees and almost 20 since I got my professional degree.

As far as my undergrad, let’s just leave it at that hahahaaa.

I don’t look a day over 25!!!

Genetics baby.....blessed and highly favored!!!!

Jirani umekula epsom salt, wala si chumvi ya kawaida. [emoji848][emoji848]First degree almost 20 yrs ago it’s a freaking forever. [emoji3]
Happy 4th of July. [emoji95] [emoji95][emoji95]
 
Kwa alichoongea Peter Komu, kinachoma kama pasi... Ladynaa alikuwa sahihi!hivi kwa style hyo muna ameokokea nini wandugu? Huyo mwimba injili aliyempangia mbezi beach ni nan?
 
Jirani umekula epsom salt, wala si chumvi ya kawaida. [emoji848][emoji848]First degree almost 20 yrs ago it’s a freaking forever. [emoji3]
Happy 4th of July. [emoji95] [emoji95][emoji95]

Ahahahaaaaa!!!

Happy 4th jirani!

Nipo hapa LA Fitness on Windward Parkway naitafuta njaa!

Nikitoka hapa naenda kudoea nyama kwa mtu!

Chumvi nimeila kiasi chake....epsom salt changanya na Lawry’s seasoned salt!!!
4FCA1151-A823-466D-9A01-E52F53F299FF.jpeg
 
Oooh waaaow sijaona uzi wa kumnanga milly kwa kusingizia muna kamuua mwanae ila kisa mnamchukia msema ukweli ladyna baaasiii anapakwa rangi zote mbaya. List hata harmonize aliitoa,mange anatoaga list wala sio jambo geni bongo

Zama kashikilia kila kitu kuhusu huo msiba wala hamusemi saiv malaika aiseee cant wait baadae mtakavyoanza kumnanga kama ladyna. Wabongo tunapata tabu sana
Sawa sio wa Casto wala wa Peter yeye aliwashwa nini kuanza kutupa list ya madem wa Casto? Aliongea kama nani kama sio kimbelembele? Na kutupa na ratiba ya mazishi juu. Sasa kaumbuka vibaya kimbelembele kimemuisha kuingilia ya watu
 
FAHAMU : Kwa mujibu wa dada wa Muna aitwaye Eve, msiba huo upo Mwananyamala kwa baba wa mtoto huyo. Wakati watu wakisubiri kuupokea mwili wa mtoto wa Muna Love aliyefariki Julai 3, 2018 jijini Nairobi alikokuwa akitibiwa, dada wa msanii huyo amesema msiba uko kwa baba wa mtoto anayeishi Mwananyamala kwa Mwakibile jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo, Patrick alikuwa na uvimbe kichwani na wazazi wake kumpeleka Nairobi kwa matibabu zaidi. Akizungumza na Mwananchi , Eve, ambaye ni dada wa Muna, amesema wameamua kuweka msiba Mwananyamala kwa sababu ndiko nyumbani kwa baba yake. “Msiba hauko huko Mbezi jamani. Patrick ana baba yake na yuko hai anaitwa Peter. Hivyo tuko hapa Mwananyamala kwa Mwakibile tunapanga jinsi ya kuurudisha mwili Tanzania kwa ajili ya maziko,ambayo tutawatajia siku,” alisema Eve. Eve aliomba watu waachane na habari zinazosambazwa mitandaoni kuwa mtoto huyo ni wa mtangazaji maarufu wa televisheni, Caston, akisema ni za upotoshaji. Amesema iwapo watu wanataka ukweli wa suala hilo, waende msibani kwa ajili ya kupata habari kamili.
 
Na haogopi kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko nje ndo maana jeuri,Mimi bwana ktk maisha yangu hua sipendi mtu aniharibie ktk watu wangu ninaowapenda ukiwagusa hao baasi yaani sikusamehe hata!ndo maana sipendi umaarufu maana najua una gharama zake!
 
Yuko nje ndo maana jeuri,Mimi bwana ktk maisha yangu hua sipendi mtu aniharibie ktk watu wangu ninaowapenda ukiwagusa hao baasi yaani sikusamehe hata!ndo maana sipendi umaarufu maana najua una gharama zake!
Umaarufu una gharama kubwa sana watu hawajuagi tu wanaona ni rahisi.
 
Aisee!

Hao wote siwajui.

Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?

Ni nani kwani?

Na huyo LadyN.....who is she?

I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.

Now serve me the tea, please.

NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
Unambwebwe sana wewe jamaa itadhani burucheka!!!!!!

Unasema huwajui, Ila hajatajwa MunaLove katajwa Muna wewe "kwa kuwa humjui" ukajiongeza kwamba anaitwa Munalove! Hahahahaa uyoz mbaya huu
 
Back
Top Bottom