Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

LadyNa mara nyingi sio mnafiki. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda unafiki,kujipendekeza,kusifiwa tuuuu na mwisho kabisa kudanganywa.

Huyu kajipambanua na kujiweka kivyake kuna saa mnafiki mkweli,kuna saa mnafiku muongo,anyway bila yeye huu uzi usingekuwepo[emoji23]

Esma mwenyewe wale wale si ndio aliyemsogeza ladyNa kwa diamond na zari. Huyu huyu esma ndo alimvuruga kaka ake.
LadyNa mara nyingi anapenda kutetea hata kama ujinga. Alikua karibu na Diamond kabla hata Zari hayuko kwenye picture sema anapenda sana kuingilia familia za watu. Ina maana yeye anampenda zaidi Zarina ambae anatoka na ex wa mdogo wake kuliko kina Esma? Huyu dada ni chawa
 
Hahahahah bado sijaona kosa la ladyna. Wanawake wote tupo hivyo tena mwenzetu yeye kajiweka wazi kabisa.

Kweli tuko wote hivyo sasa mwenzetu anapitiliza kuweka umbea wake mpaka kuingilia maugomvi ya watu live. Sisi wengine tunaingia huku halafu basi. Yeye sasa ptuuu
 
Aisee!

Hao wote siwajui.

Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?

Ni nani kwani?

Na huyo LadyN.....who is she?

I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.

Now serve me the tea, please.

NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....

Ha ha haaaaa
Udaku wa instagram
Nipe jina lako la mule nitakuwa nakurushia post DM usipitwe kucheka na vituko vya nchini.. ili usizeeke mapema kama mimi ninavyocheka na kuzidi kukata miaka kwa kurudi nyuma.
 
U know hapa nacheka tu,mfano mdogo madame aliombeaga zari afie leba,same woman akajiweka kifront kumuwishi mtoto aliyetaka afe na mama ake leba.esma na mama ake kumkomesha zari walimpelekea mwanamke mwingine dai na bidada akafanya kweli na kitumbo ndiii,mtoto kuja duniani kageuka kero kwa hao wawili kuliko waliyetaka kumkomesha.
Ugomvi wa muna na casto unaingiliwa na wengi mno ila ladyna kajiweka upande usiopewa nafasi ya kusikilizwa. Wengi hawataki kusikia baba wa Pat ni Peter wanataka awe casto.
Wengi ili kuburudisha mashabiki wameendeleza kumnanga casto bila kufahamu ukweli husika.
Kweli tuko wote hivyo sasa mwenzetu anapitiliza kuweka umbea wake mpaka kuingilia maugomvi ya watu live. Sisi wengine tunaingia huku halafu basi. Yeye sasa ptuuu
 
Ha ha haaaaa
Udaku wa instagram
Nipe jina lako la mule nitakuwa nakurushia post DM usipitwe kucheka na vituko vya nchini.. ili usizeeke mapema kama mimi ninavyocheka na kuzidi kukata miaka kwa kurudi nyuma.

Coco...hujambo?

Well, Instagram sipo kabisa aisee na nimekataa kuwepo!?

Kuhusu kuzeeka, never!

I still look super young [and good too]!

Folks still think I’m in college when fact of the matter is it’s been 15 years since the last time I got one of my MA degrees and almost 20 since I got my professional degree.

As far as my undergrad, let’s just leave it at that hahahaaa.

I don’t look a day over 25!!!

Genetics baby.....blessed and highly favored!!!!
 
Kama mie daah sijui kwann alisababisha korea kusini ikapata goli jepesi kama lile khaa golikipa utaendaje kugombania kona kizembe vile
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom