Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Hao ndugu fake wanaolazimisha Patrick awe baba wa Pat
Halafu huyu mama anahangaika mwenyewe huyu mama hata kama alikua anasadia hivi kwani msiba ukiwa kwa muna kuna ubaya gani!!

Hivi from nowhere msiba uende mwananyamala jamani halafu waliachana wamuache Dada wa watu amzike mwanawe!

Hivi Leo bahati mbaya mwanangu aondoke aje mtu na kende zake aweke msiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] waache kelele zao hukooo!
 
Wewe jama wewe hahahaaaa kwenye haya mambo wewe ni mtaalamu kuliko hata Mzigua90

Unajua kila kitu kijishebedua tu kama Dully Sykes bradhaman!

Sihitajiki kukujibu kwani nitaonekana boya kwa sababu ninayemjua anajua zaidi kuliko mimi!

Kwani ukiwajua hao kina MunaMapenzi ni dhambi? ...hahahahaaaa mpaka ulipo jibu chat yako hakuna mtu kamtaja MunaLove bali Muna sasa wewe huyo MunaLove umemsoma wapi? Katika uzi mwingine?

Be a man bwana!
 
Wewe jama wewe hahahaaaa kwenye haya mambo wewe ni mtaalamu kuliko hata Mzigua90

Nigga pliiz. Mimi sijui kinachoendelea na hao akina Muna. Hivyo sina utaalamu wowote ule. Usijifanye ujuaji wa usiyoyajua.

Unajua kila kitu kijishebedua tu kama Dully Sykes bradhaman!

Najua kila kitu? Hivi unajua maana ya kujua wewe? Hahahaa Haya hebu thibitisha basi kuwa najua kila kitu...you single digit IQ fool!

Sihitajiki kukujibu

Huhitaji kunijibu?? Kwani ulichokifanya hapa ni nini? Single digit IQ fool. Unajikanganya kanganya kama kuku aliyekatwa kichwa!

kwani nitaonekana boya kwa sababu ninayemjua anajua zaidi kuliko mimi!

Huna ulijualo wewe. Unalazimisha tu. Hujui kama mimi namjua huyo Muna au la! Mbaya zaidi hata maana ya ‘kujua’ hujui. Single digit IQ dunderhead.

Kwani ukiwajua hao kina MunaMapenzi ni dhambi?

Si dhambi. Lakini hata kutokuwajua na kuuliza wao ni akina nani si dhambi vilevile. Na si kosa wala kesi pia. So what’s your point???

hahahahaaaa mpaka ulipo jibu chat yako hakuna mtu kamtaja MunaLove bali Muna sasa wewe huyo MunaLove umemsoma wapi? Katika uzi mwingine?

Mwanzisha mada keshajibu. Nuff said.

Be a man bwana!

I’m more a man than you’ll ever be. A man’s man. Now go runteldat [Google what it means coz I’m sure you don’t know what it means].
 
Labda njaaa nayo inachangia

Kwani uyo Lady Naa anajishughulisha na nini haswa mpaka kawa star?
 
Huyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtoto
Lazima imuume.Kuto.mbewa mke,kulea mtoto sio wako unalipa ada,matunzo na kila kitu alafu unaambiwa mtoto si wako.Kiheshima wangeacha amzike mtoto.Alimgeuza ATM
Na kamlisha manini mpaka leo huyo baba anampenda na kumlilia muna.
Muna ni goldigger.Sipendi mtu kufanyiwa hivi.Hizo pesa hata kama Komu hana uzazi angefanyia mambo ya maana.
 
Du
 
Umeongea ukweli mtupu. Muna alimgeuza mtoto wake chuma ulete
 
Umeongea ukweli mtupu. Muna alimgeuza mtoto wake chuma ulete
Kwanza kabisa alimtesa sana huyo mwanamme.
Mwanamme kamtoa kwenye maisha ya chini sana,kampa maisha akaja kumfanyia zile za bongo movie.Mwanamme ana upendo mkubwa sana huyo na alimuuliza kabisa juu ya mtoto.

Anaacha kaka wa watu anahudumia,analipa ada anaingia gharama kibao.Na yeye mwenyewe vizinga vikubwa vikubwa mwanamme kamshika afu anakuja kusema akiongea atamwaibisha?
Faken kabisa.
 
Kamlisha nyama ya chini!

Msema peke siku zote hushinda!
 
Lakini haya yote Komu aliyajua. Hakutakiwa kujiingiza kwenye drama ya leo ya kugombea mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…