Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyu mama anahangaika mwenyewe huyu mama hata kama alikua anasadia hivi kwani msiba ukiwa kwa muna kuna ubaya gani!!Hao ndugu fake wanaolazimisha Patrick awe baba wa Pat
Haya kaandika Muna mwenyewe kwenye page yake.View attachment 802691
Wewe jama wewe hahahaaaa kwenye haya mambo wewe ni mtaalamu kuliko hata Mzigua90Mimi siwajui kabisa hao watu.
Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapo.
Kama zipo basi zipo kwenye imaginations zako tu.
Kuhusu Muna na Munalove, well, labda nimekosea. Kama nimekosea then it’s an honest mistake kwa sababu huyo Munalove nimeona katajwa tajwa sana humu [uongo?] hizi siku mbili tatu.
So it stands to reason kwamba baada ya mimi kuona jina la ‘Muna’ nikadhani ndo huyo huyo Munalove niliyeona anajadiliwa kwingine.
Mimi simjui na sinufaiki na chochote kama namjua halafu nijifanye simjui.
Kwa hiyo hakuna mbwembwe zozote hapa. Kilichopo ni maruerue [hallucinations] yako tu.
Swali mtambuka: huyu anayezungumziwa hapa si Munalove??
Maana kama anayezungumziwa hapa ni yeye, basi hakuna nilichokosea.
Sasa nambie, anayezungumziwa hapa siyo Munalove???
Ndo huyo huyo NN
Hahhahahahaa Nyani Ngabu wewe fwara sana bro!We Mhadzabe njoo hapa!
Hajatajwa Munalove na katajwa Muna!
Ni watu wawili tofauti eeh? Hahahaaaaa.....
Wewe jama wewe hahahaaaa kwenye haya mambo wewe ni mtaalamu kuliko hata Mzigua90
Unajua kila kitu kijishebedua tu kama Dully Sykes bradhaman!
Sihitajiki kukujibu
kwani nitaonekana boya kwa sababu ninayemjua anajua zaidi kuliko mimi!
Kwani ukiwajua hao kina MunaMapenzi ni dhambi?
hahahahaaaa mpaka ulipo jibu chat yako hakuna mtu kamtaja MunaLove bali Muna sasa wewe huyo MunaLove umemsoma wapi? Katika uzi mwingine?
Be a man bwana!
Hahhahahahaa Nyani Ngabu wewe fwara sana bro!
Enjoy ya time where you are bro!
Lazima imuume.Kuto.mbewa mke,kulea mtoto sio wako unalipa ada,matunzo na kila kitu alafu unaambiwa mtoto si wako.Kiheshima wangeacha amzike mtoto.Alimgeuza ATMHuyo Peter Komu anatafuta huruma hali anajua yeye sio baba mzazi wa mtoto
DuUmeniwahi nilitaka niseme hivi mwenye haki ya mtoto ni nani kati yao hata km huyo Peter ndo baba na alikua anatoa pesa za hospital!!
Ifike mahali wamuache Muna km muna na hao ndugu ni wasengeee tu km wengine
Mtoto anavyouma halafu Leo mje kutafuta kick kwa mwananguu!ntameza mtu!
Wamuache Muna amzike mwanawe hao wengine wapuuzi tu!
Mimi kama mama mzazi nimemuelewa sanaa muna kuliko hao punda wengine wote!
Umeongea ukweli mtupu. Muna alimgeuza mtoto wake chuma uleteLazima imuume.Kuto.mbewa mke,kulea mtoto sio wako unalipa ada,matunzo na kila kitu alafu unaambiwa mtoto si wako.Kiheshima wangeacha amzike mtoto.Alimgeuza ATM
Na kamlisha manini mpaka leo huyo baba anampenda na kumlilia muna.
Muna ni goldigger.Sipendi mtu kufanyiwa hivi.Hizo pesa hata kama Komu hana uzazi angefanyia mambo ya maana.
Kumnyima mtoto?![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila kitu Munalove kamfanyia Zakaria aisee...mbaya sana.
Lady Naa ana shobo dundo
Kwanza kabisa alimtesa sana huyo mwanamme.Umeongea ukweli mtupu. Muna alimgeuza mtoto wake chuma ulete
Kamlisha nyama ya chini!Lazima imuume.Kuto.mbewa mke,kulea mtoto sio wako unalipa ada,matunzo na kila kitu alafu unaambiwa mtoto si wako.Kiheshima wangeacha amzike mtoto.Alimgeuza ATM
Na kamlisha manini mpaka leo huyo baba anampenda na kumlilia muna.
Muna ni goldigger.Sipendi mtu kufanyiwa hivi.Hizo pesa hata kama Komu hana uzazi angefanyia mambo ya maana.
Hapana.Kumnyima mtoto?![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lakini haya yote Komu aliyajua. Hakutakiwa kujiingiza kwenye drama ya leo ya kugombea mtotoLazima imuume.Kuto.mbewa mke,kulea mtoto sio wako unalipa ada,matunzo na kila kitu alafu unaambiwa mtoto si wako.Kiheshima wangeacha amzike mtoto.Alimgeuza ATM
Na kamlisha manini mpaka leo huyo baba anampenda na kumlilia muna.
Muna ni goldigger.Sipendi mtu kufanyiwa hivi.Hizo pesa hata kama Komu hana uzazi angefanyia mambo ya maana.