Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.Kamlisha nyama ya chini!
Msema peke siku zote hushinda!
Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?Kwanza kabisa alimtesa sana huyo mwanamme.
Mwanamme kamtoa kwenye maisha ya chini sana,kampa maisha akaja kumfanyia zile za bongo movie.Mwanamme ana upendo mkubwa sana huyo na alimuuliza kabisa juu ya mtoto.
Anaacha kaka wa watu anahudumia,analipa ada anaingia gharama kibao.Na yeye mwenyewe vizinga vikubwa vikubwa mwanamme kamshika afu anakuja kusema akiongea atamwaibisha?
Faken kabisa.
Mwanaume mwenyewe alikua anajua mtoto sio wake so alikua anamhudumia kwa mapenzi yake!Hapana.
Kama alijua kabisa mtoto si wa Peter kwanini apokee pesa za matunzo na gharama za matibabu na gharama za Elimu?
Muna kafanya kumchuuza kaka wa watu vibaya sana.
Aliyajuaej?Lakini haya yote Komu aliyajua. Hakutakiwa kujiingiza kwenye drama ya leo ya kugombea mtoto
Mbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?Mwanaume mwenyewe alikua anajua mtoto sio wake so alikua anamhudumia kwa mapenzi yake!
Ishu ya mtoto inajulikana mbona mda mrefu so huyo peter anajua alichokua anafanya then walishatengana hao!
Bongo movie mda wote wapo location!!Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?
Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.
Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
Wokovu wa Insta.Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?
Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.
Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
nakaziaLakini haya yote Komu aliyajua. Hakutakiwa kujiingiza kwenye drama ya leo ya kugombea mtoto
Muna muongo sana. Sasa anadanga hadi anajisahau. Amwache baba wa watu azike mtoto wakeBongo movie mda wote wapo location!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kaokoka kaacha kuuza madawa
nakaziaLakini haya yote Komu aliyajua. Hakutakiwa kujiingiza kwenye drama ya leo ya kugombea mtoto
Baba anataka kikHalafu huyu mama anahangaika mwenyewe huyu mama hata kama alikua anasadia hivi kwani msiba ukiwa kwa muna kuna ubaya gani!!
Hivi from nowhere msiba uende mwananyamala jamani halafu waliachana wamuache Dada wa watu amzike mwanawe!
Hivi Leo bahati mbaya mwanangu aondoke aje mtu na kende zake aweke msiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] waache kelele zao hukooo!
Kaacha maana ramani haisomoki.Bongo movie mda wote wapo location!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kaokoka kaacha kuuza madawa
Ndio amuache baba mlezi amzike sasa. Yani huruma niliyokuwa namuonea nimeifuta hastahili machozi yangu pimbi huyu.Wokovu wa Insta.
Swala ni hivi,kama alijua mtoto wa Casto alfu anaitwa jina la Peter maana yake likuwa anataka amchote Peter pesa kwa sababu y udhaifu wa mahaba.
Ila sio vizuri kabisa.
Siwezi mushindanannanwewe nwenye akilinnyinginkama kemutuz nwana!Huwezi shindana akili na mimi. You’re not on my level.
Jaribu kwenye mambo mengine.
Pamoja na wokovu wake alikuwa haoni aibu kuomba pesa kwa baba asiye wa mtoto,kuomba nauli ya ndege kisha kupanda basi na mchumba!Muna muongo sana. Sasa anadanga hadi anajisahau. Amwache baba wa watu azike mtoto wake
Alitaka mwenyewe huyo kaka!Hapana.
Kama alijua kabisa mtoto si wa Peter kwanini apokee pesa za matunzo na gharama za matibabu na gharama za Elimu?
Muna kafanya kumchuuza kaka wa watu vibaya sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kurogwa huku looh!Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.
Mwanamke alikuwa akirudi asubuhi anafungua mlango anaomba msamaha yeye.Alafu mwanamke anasema staki we mlevi huwez mambo!
Hela inauma jamani.So mama yake mzazi Muna,dada yake pia wote wanataka kiki.Baba anataka kik
Yani nimemchukia kuliko kawaida. Yeye na Lwaga ni waongo hawana cha wokovu wowotePamoja na wokovu wake alikuwa haoni aibu kuomba pesa kwa baba asiye wa mtoto,kuomba nauli ya ndege kisha kupanda basi na mchumba!