Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Kwanza kabisa alimtesa sana huyo mwanamme.
Mwanamme kamtoa kwenye maisha ya chini sana,kampa maisha akaja kumfanyia zile za bongo movie.Mwanamme ana upendo mkubwa sana huyo na alimuuliza kabisa juu ya mtoto.

Anaacha kaka wa watu anahudumia,analipa ada anaingia gharama kibao.Na yeye mwenyewe vizinga vikubwa vikubwa mwanamme kamshika afu anakuja kusema akiongea atamwaibisha?
Faken kabisa.
Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?

Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.

Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
 
Hapana.
Kama alijua kabisa mtoto si wa Peter kwanini apokee pesa za matunzo na gharama za matibabu na gharama za Elimu?
Muna kafanya kumchuuza kaka wa watu vibaya sana.
Mwanaume mwenyewe alikua anajua mtoto sio wake so alikua anamhudumia kwa mapenzi yake!

Ishu ya mtoto inajulikana mbona mda mrefu so huyo peter anajua alichokua anafanya then walishatengana hao!
 
Mwanaume mwenyewe alikua anajua mtoto sio wake so alikua anamhudumia kwa mapenzi yake!

Ishu ya mtoto inajulikana mbona mda mrefu so huyo peter anajua alichokua anafanya then walishatengana hao!
Mbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
 
Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?

Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.

Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
Bongo movie mda wote wapo location!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kaokoka kaacha kuuza madawa
 
Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?

Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.

Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
Wokovu wa Insta.
Swala ni hivi,kama alijua mtoto wa Casto alfu anaitwa jina la Peter maana yake likuwa anataka amchote Peter pesa kwa sababu y udhaifu wa mahaba.
Ila sio vizuri kabisa.
 
Halafu huyu mama anahangaika mwenyewe huyu mama hata kama alikua anasadia hivi kwani msiba ukiwa kwa muna kuna ubaya gani!!

Hivi from nowhere msiba uende mwananyamala jamani halafu waliachana wamuache Dada wa watu amzike mwanawe!

Hivi Leo bahati mbaya mwanangu aondoke aje mtu na kende zake aweke msiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] waache kelele zao hukooo!
Baba anataka kik
 
Wokovu wa Insta.
Swala ni hivi,kama alijua mtoto wa Casto alfu anaitwa jina la Peter maana yake likuwa anataka amchote Peter pesa kwa sababu y udhaifu wa mahaba.
Ila sio vizuri kabisa.
Ndio amuache baba mlezi amzike sasa. Yani huruma niliyokuwa namuonea nimeifuta hastahili machozi yangu pimbi huyu.
Joel Lwaga naye hajielewi kabisa
 
Hapana.
Kama alijua kabisa mtoto si wa Peter kwanini apokee pesa za matunzo na gharama za matibabu na gharama za Elimu?
Muna kafanya kumchuuza kaka wa watu vibaya sana.
Alitaka mwenyewe huyo kaka!

Si walishatengana pia!

Komu akubali matokeo tu japo yauma
 
Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.
Mwanamke alikuwa akirudi asubuhi anafungua mlango anaomba msamaha yeye.Alafu mwanamke anasema staki we mlevi huwez mambo!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kurogwa huku looh!
Hawa celebrities hawaolekii!
 
Ila kitu Munalove kamfanyia Zakaria aisee...mbaya sana.
Lady Naa ana shobo dundo
Mbaya sana haki ya Mungu. Yani dharau zote bado anataka atambulike kama mume na baba wa mtoto wakati mke wake alishasema mtoto si wake
 
Back
Top Bottom