Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.Kamlisha nyama ya chini!
Msema peke siku zote hushinda!
Mwanamke alikuwa akirudi asubuhi anafungua mlango anaomba msamaha yeye.Alafu mwanamke anasema staki we mlevi huwez mambo!