So Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?Ndio amuache baba mlezi amzike sasa. Yani huruma niliyokuwa namuonea nimeifuta hastahili machozi yangu pimbi huyu.
Joel Lwaga naye hajielewi kabisa
Nafikiri hatuelewani.Alitaka mwenyewe huyo kaka!
Si walishatengana pia!
Komu akubali matokeo tu japo yauma
Msema peke hushinda ngoja muna nae aje kusemaMbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
SawaMsema peke hushinda ngoja muna nae aje kusema
Hatutetei hizo mambo ila suala La mtoto mbona linajulikana Hata na sie wambea seuse mzazi tena baba km alikua anaweza toa pesa zotee..why asiende kwenye DNA sasa kuondoa utata ....!!!
Leo analalama!
Kashapata[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]na atachangiwaa!!Baba anataka kik
Baraka Da Prince Kashaachana na Naj? Baraka alinichekesha sana na Clip aliyoonyesha Mjengo Hewa.[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Munalove ni bongo movie shoga mkubwa wa Lulu Michael na alikua bff wa Wema pia.
LadyN ni dadake Naj Datan ex gf wa Diamond/Baraka The Prince
Nimekujibu NN
Ndio...!!!!Nafikiri hatuelewani.
Kutaka mwenyewe kutoa pesa sio?
Haya.
Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]So Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?
Alafu asiumie.
Mun mjanja sana kachangisha michango Agakhan wakati cost yote ilikuwa covered.
Baraka Da Prince Kashaachana na Naj? Baraka alinichekesha sana na Clip aliyoonyesha Mjengo Hewa.
Hapo sasa muna alikuwa anaomba pesa kwa kigezo cha mtoto ni wa Peter. Wamwache baba wa watuMbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
Siwezi mushindanannanwewe nwenye akilinnyinginkama kemutuz nwana!
Busara yake imetafsiriwa kuwa ni Ujinga.Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.
Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
Aje ashuhudie anguko la muna!!Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.
Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
Eti alikuwa anajua kwa hiyo asilalamike.Hapo sasa muna alikuwa anaomba pesa kwa kigezo cha mtoto ni wa Peter. Wamwache baba wa watu
Kabisa.Hakuyajua yote haya. Ila muna atapata tabu sanaaaaBusara yake imetafsiriwa kuwa ni Ujinga.
Angejua pesa zake angejengea maskini.
Wao wauza ngada wala huwa hawaliwazi hili.Aje ashuhudie anguko la muna!!
Mi muna simkubali kwenye ngada!!!hapo nimevaa viatu vya wote wanaofiwa na ndugu zao kwa sababu ya drugs!
Na Karma iko page One sasa.Aje ashuhudie anguko la muna!!
Mi muna simkubali kwenye ngada!!!hapo nimevaa viatu vya wote wanaofiwa na ndugu zao kwa sababu ya drugs!
Kwa kweli huyo Peter na madhambi yake yote hapa akilia dua inafika.Kabisa.Hakuyajua yote haya. Ila muna atapata tabu sanaaaa