Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ndio amuache baba mlezi amzike sasa. Yani huruma niliyokuwa namuonea nimeifuta hastahili machozi yangu pimbi huyu.
Joel Lwaga naye hajielewi kabisa
So Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?
Alafu asiumie.
Mun mjanja sana kachangisha michango Agakhan wakati cost yote ilikuwa covered.
 
Mbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
Msema peke hushinda ngoja muna nae aje kusema

Hatutetei hizo mambo ila suala La mtoto mbona linajulikana Hata na sie wambea seuse mzazi tena baba km alikua anaweza toa pesa zotee..why asiende kwenye DNA sasa kuondoa utata ....!!!

Leo analalama!
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Munalove ni bongo movie shoga mkubwa wa Lulu Michael na alikua bff wa Wema pia.

LadyN ni dadake Naj Datan ex gf wa Diamond/Baraka The Prince

Nimekujibu NN
Baraka Da Prince Kashaachana na Naj? Baraka alinichekesha sana na Clip aliyoonyesha Mjengo Hewa.
 
So Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?
Alafu asiumie.
Mun mjanja sana kachangisha michango Agakhan wakati cost yote ilikuwa covered.
Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.

Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
 
Mbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
Hapo sasa muna alikuwa anaomba pesa kwa kigezo cha mtoto ni wa Peter. Wamwache baba wa watu
 
Siwezi mushindanannanwewe nwenye akilinnyinginkama kemutuz nwana!

Ni kweli huwezi maana kuandika kwenyewe tu mgogoro!!

Ndo utaweza kwenda toe to toe, blow for blow, round for round, na head to head na mimi??

Abadani asilani!!!
 
Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.

Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
Busara yake imetafsiriwa kuwa ni Ujinga.
Angejua pesa zake angejengea maskini.
 
Casto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.

Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
Aje ashuhudie anguko la muna!!

Mi muna simkubali kwenye ngada!!!hapo nimevaa viatu vya wote wanaofiwa na ndugu zao kwa sababu ya drugs!
 
Hapo sasa muna alikuwa anaomba pesa kwa kigezo cha mtoto ni wa Peter. Wamwache baba wa watu
Eti alikuwa anajua kwa hiyo asilalamike.
Alikuwa anahisi anauliza anaambiwa otherwise tena huku mwanamke analia.
 
Back
Top Bottom