Tena kwa speed ya 4GKwa kweli huyo Peter na madhambi yake yote hapa akilia dua inafika.
Abbee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkwe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk hapa na kuumbuka huku mababa wawili loohh!acha achanganyikiweNa Karma iko page One sasa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huu msemo huuKabisa.Hakuyajua yote haya. Ila muna atapata tabu sanaaaa
Bongo movie mamaYani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?
Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.
Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
Mbaya sana haki ya Mungu. Yani dharau zote bado anataka atambulike kama mume na baba wa mtoto wakati mke wake alishasema mtoto si wake
Nakumbuka muna aliweka wazi hili siku nyingi sana. Pesa za matibabu kwa bongo Pat alikua anatibiwa kwa bima ya Patrick. Patrick alikua anajua anatumika na Muna na akakubali kutumikaAliyajuaej?
Sikiliza mahojiano.Alimuuliza juu ya hili swala.Muna hakuwa muwazi.
Ni tabia ya kilozi kabisa.
Kwanini alikuwa anamsumbua na pesa za matibabu??
No justification kwa ubazazi huu
Afu bado alikuwa anamchota Peter anakula na mloloke wake mpya[emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk hapa na kuumbuka huku mababa wawili loohh!acha achanganyikiwe
Kaumbuka vibaya mnoooo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk hapa na kuumbuka huku mababa wawili loohh!acha achanganyikiwe
Labda dawa zilikua hazijamuisha ila walivyotengana Muna aliwekaga wazi kila kitu kuhusu baba wa Pat. Sielewi kama alikua anajua hayo na bado akakubali kuhudumia alikua anategemea niniMbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
Yani atapata tabu sanaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] huu msemo huu
Bongo lala kabisaBongo movie mama
SawaNakumbuka muna aliweka wazi hili siku nyingi sana. Pesa za matibabu kwa bongo Pat alikua anatibiwa kwa bima ya Patrick. Patrick alikua anajua anatumika na Muna na akakubali kutumika
Huyu Muna kamroga jamaa, mwanaume kawa kama zuzu
Nakataa Peter hakujua bwana. Maelezo ya yule baba yamenyooka kabisa kamsikilize tena.Nakumbuka muna aliweka wazi hili siku nyingi sana. Pesa za matibabu kwa bongo Pat alikua anatibiwa kwa bima ya Patrick. Patrick alikua anajua anatumika na Muna na akakubali kutumika