Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Yani kawa kama ndondocha ni pombe tu.
Mwanamke alikuwa akirudi asubuhi anafungua mlango anaomba msamaha yeye.Alafu mwanamke anasema staki we mlevi huwez mambo!
Alimrogea wapi sijui hadi kumgeuza kama ndondocha baba wa watu
 
Wadada wa mjini wamefanya watoto dili, misiba ya watoto wanaona ni fursa na akaunti za M-pesa na Benki zinafunguliwa chap. hawana tofauti na magufuli kulamba hela za rambi rambi. Aibu ni pale marehemu mtoto hajulikani baba yake ni nani...hivyo nimewashangaa sana hata wanotuma rambi rambi.
 
Yani hadi Familia yake imemgeuka. Baba ana busara sana. Anasema mtoto ni wa Casto sasa mbona anaitwa Patrick Peter? ?

Mama kafiwa lakini bado amekuwa na nguvu ya kupost gazeti huko insta.

Wokovu wake umeanza kunipa mashaka kuanzia Leo.
Bongo movie mama
 
Damn!!

This is dizzying for real!!

Halafu anajitokeza mjinga mjinga analazimisha eti yote haya nayajua!!

Sikujua kama ‘kujua’ nayo ni dhana ngumu kiasi hicho.
 
Aliyajuaej?
Sikiliza mahojiano.Alimuuliza juu ya hili swala.Muna hakuwa muwazi.
Ni tabia ya kilozi kabisa.
Kwanini alikuwa anamsumbua na pesa za matibabu??
No justification kwa ubazazi huu
Nakumbuka muna aliweka wazi hili siku nyingi sana. Pesa za matibabu kwa bongo Pat alikua anatibiwa kwa bima ya Patrick. Patrick alikua anajua anatumika na Muna na akakubali kutumika
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpk hapa na kuumbuka huku mababa wawili loohh!acha achanganyikiwe
Afu bado alikuwa anamchota Peter anakula na mloloke wake mpya[emoji23]
Lazima uandike waraka insta kati kati ya majonzi
Ila peter kwa Muna hapindui...atafunga matanga bila kupenda na msamaha ataomba.
 
Mbona hamjiulizi kama pamoja na kutengana kwao kwanini muna aendelee kuomba pesa?
Alikuwa akimuhadaa huyu mwanamme aendelee kuamini kuwa mtoto ni wake.
This i Know for a fact.
Msitetee tabia zinazoumiza hivi jamani.
Labda dawa zilikua hazijamuisha ila walivyotengana Muna aliwekaga wazi kila kitu kuhusu baba wa Pat. Sielewi kama alikua anajua hayo na bado akakubali kuhudumia alikua anategemea nini
 
Nakumbuka muna aliweka wazi hili siku nyingi sana. Pesa za matibabu kwa bongo Pat alikua anatibiwa kwa bima ya Patrick. Patrick alikua anajua anatumika na Muna na akakubali kutumika
Sawa
Ila ni vibaya sana mtu ulomtumia kwa muda wote huo ukimwacha azike kilichokuwa chanzo chako cha mapato?
 
Back
Top Bottom