Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Nasikia makao makuu ya uchafu duniani ni india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale jamaa nasikia ni wachafu sasa sijui watakua ngoma droo na wanaija.

Wee mtu anakula m*vi/m**jo wa ng’ombe unategemea awe msafi[emoji23]yani kule uwe makini kula vyakula vya mtaani, airport au kwenye ndege zao huchelew kupoteza funguo,,,jamaa ni wachafu wale [emoji1373]bora wa huku kidogo wanajitahid
 
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi

2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.

3. Picha linaanzia airport hapo Ni mwendo wa uchafu kuanzia chooni, Hadi vibanda vya biashara (mbali na kuombwa rushwa na Immigration, customs na polisi wa kawaida). Ukiingia mtaan ndo utajua umefika mji wa namna gan. Hakika Lagos wanaupiga mwingi!

View attachment 2820122View attachment 2820123View attachment 2820124View attachment 2820125View attachment 2820135View attachment 2820152
Hata sisi tulifika huko chini ya msoga gang watu walikuwa wanakufa kwa kipindupindu kila mwaka maelfu ...wanacho fanya waswahili wa msoga kukomesa milipuko ya kipindupindu ilikuwa ni kumwanga vyakula vya mama ntilie barabarani na kuongeza zaidi uchafu na uvundo na manzi kuzidi .....mzee wa msoga ni mpumbavu haswa yule muuza ngada.
 
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi

2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.

3. Picha linaanzia airport hapo Ni mwendo wa uchafu kuanzia chooni, Hadi vibanda vya biashara (mbali na kuombwa rushwa na Immigration, customs na polisi wa kawaida). Ukiingia mtaan ndo utajua umefika mji wa namna gan. Hakika Lagos wanaupiga mwingi!

View attachment 2820122View attachment 2820123View attachment 2820124View attachment 2820125View attachment 2820135View attachment 2820152
Kabla hatujaenda Lagos tutazame hapa kwetu tupoje
 
Back
Top Bottom