Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Nilienda UK nikaishi mjin wa HEREFORD ,ni ksafi Sana jamani hawa jamaa wamebarikiwa
 
Tatizo ni kuzaliana hovyo, na huyo raisi wenyu marehemu watanzania aliyewaamuru mkazaliane,huko huko ndiko mnakoelekea.
 
Waafrika bado si binadamu kamili.

Bado wapo kwenye Evolution ya kuwa binadamu kamili
 
Nigerians haya majitu yapo smart sana kichwani .
Ni vile tu mifumo ya nchi nyingi za Afrika ni mibovu .
Haya majitu at right environment yanathrive sana .
 
Ila pia Lagos nayo ina watu wengi, imagine lagos ina kadiriwa 16.5 milion. Wakati Dar ina 7.7 million. Kwenye watu wengi kuna mengi. Uchafu, rushwa, ukahaba, matapeli....
 
Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.
Aisee
Umefika kwa kutumia google VR ?
Maana kama mimi ndio ningekuwa bize hivyo sidhani ningeweza hata kufungua akaunti JF
 
Wanamiliki malls Dubai kuliko wenyeji
Kabisa , yako vizuri mno .
Ni yametapakaa kote duniani
Kuna usemi unasema ukienda nchi ambayo hamna mnigeria katika hiyo nchi , basi haifai kwa wewe kuishi humo
 
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi

2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.

3. Picha linaanzia airport hapo Ni mwendo wa uchafu kuanzia chooni, Hadi vibanda vya biashara (mbali na kuombwa rushwa na Immigration, customs na polisi wa kawaida). Ukiingia mtaan ndo utajua umefika mji wa namna gan. Hakika Lagos wanaupiga mwingi!

View attachment 2820122View attachment 2820123View attachment 2820124View attachment 2820125View attachment 2820135View attachment 2820152
Nigeria ni Nchi ngumu sana kuishi ndio maana wanakimbia sana Nchi yao...Kkoo Wanigeria kibao
 
Ni kweli Mkuu. Nilipigwa na butwaa day 1 natua Murtala Muhammed airport, Lagos Kwa yafuatayo,
1. Visa on arrival (nimekaa foleni Zaid ya masaa 4),

2. Trolley za kubebea mizigo zinalipiwa tofaut na airports nyingi ambako huwa ni bure.

3. Immigration, Customs na Polisi wanaomba rushwa bila woga.

4. Taasisi za Umma (Hospitali, vyuo vikuu miundombinu ya ovyo kupitiliza, vyoo vimefurika mpaka pomoni),

5. Barabara nazo msala mtupu (mashimo mwanzo-mwisho)
Shida wamezaliana kama nguruwe,nchi iko overpopulated
 
Back
Top Bottom