toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
yes mkuu..Lakini airport bado wanaotumia Murtala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes mkuu..Lakini airport bado wanaotumia Murtala?
yes na nadhani distance ni kama 6 km iviLakini airport bado wanaotumia Murtala?
Wanawaliza wazungu huko kwenye mitandao kila siku ,mpaka wazungu kutoka Amerika ,Europe na Australia wametengeneza makala kuhusu ubunifu wa hawa wahuni kwenye utapeliWezi wa dunia
Wanamiliki malls Dubai kuliko wenyejiNigerians haya majitu yapo smart sana kichwani .
Ni vile tu mifumo ya nchi nyingi za Afrika ni mibovu .
Haya majitu at right environment yanathrive sana .
AiseeBinafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.
Kabisa , yako vizuri mno .Wanamiliki malls Dubai kuliko wenyeji
Nasikia mende wa huko wanavaa gumboot na gloves mitaani maana na wenyewe yamewashindaNasikia makao makuu ya uchafu duniani ni india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale jamaa nasikia ni wachafu sasa sijui watakua ngoma droo na wanaija.
Imefika 25.5m peopleIla pia Lagos nayo ina watu wengi, imagine lagos ina kadiriwa 16.5 milion. Wakati Dar ina 7.7 million. Kwenye watu wengi kuna mengi. Uchafu, rushwa, ukahaba, matapeli....
Nigeria ni Nchi ngumu sana kuishi ndio maana wanakimbia sana Nchi yao...Kkoo Wanigeria kibao1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi
2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.
3. Picha linaanzia airport hapo Ni mwendo wa uchafu kuanzia chooni, Hadi vibanda vya biashara (mbali na kuombwa rushwa na Immigration, customs na polisi wa kawaida). Ukiingia mtaan ndo utajua umefika mji wa namna gan. Hakika Lagos wanaupiga mwingi!
View attachment 2820122View attachment 2820123View attachment 2820124View attachment 2820125View attachment 2820135View attachment 2820152
Shida wamezaliana kama nguruwe,nchi iko overpopulatedNi kweli Mkuu. Nilipigwa na butwaa day 1 natua Murtala Muhammed airport, Lagos Kwa yafuatayo,
1. Visa on arrival (nimekaa foleni Zaid ya masaa 4),
2. Trolley za kubebea mizigo zinalipiwa tofaut na airports nyingi ambako huwa ni bure.
3. Immigration, Customs na Polisi wanaomba rushwa bila woga.
4. Taasisi za Umma (Hospitali, vyuo vikuu miundombinu ya ovyo kupitiliza, vyoo vimefurika mpaka pomoni),
5. Barabara nazo msala mtupu (mashimo mwanzo-mwisho)
TrueShida wamezaliana kama nguruwe,nchi iko overpopulated