toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Jamaa wapo wengi ajabu. Hospitali za Umma kama jela tu
Vipi S.A?😅matapeli wakutosha, waongo wengi, na maboss wapo hapo hapo sababu dili haramu za kutosha
Yaaah man, noma sanaaa..Wamevurugwa mno
S.A sasa ukienda kichwa kichwa wanakutapeli ndugu zako wa magomeni man, wabongo wachache sana waaminifu S.A sijui kwa nini, ila jamaa kataja Windhoek Namibia pako poa sana very organized… kwanza nchi ya kwanza kwa machakaramu Africa bi Nigeria na ya pili ni S.A mwanangu noma sana aisee….Vipi S.A?😅
😂😂😂 nimecheka sana daaah ahahaha wezi hao aisee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nilikaa hapo Lagos Kwa wiki tatu Ila niliona kama mwaka
Nasikia makao makuu ya uchafu duniani ni india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale jamaa nasikia ni wachafu sasa sijui watakua ngoma droo na wanaija.
Hata sisi tulifika huko chini ya msoga gang watu walikuwa wanakufa kwa kipindupindu kila mwaka maelfu ...wanacho fanya waswahili wa msoga kukomesa milipuko ya kipindupindu ilikuwa ni kumwanga vyakula vya mama ntilie barabarani na kuongeza zaidi uchafu na uvundo na manzi kuzidi .....mzee wa msoga ni mpumbavu haswa yule muuza ngada.1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi
2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich, Madrid, Barcelona, Paris, Amsterdam, Frankfurt, Oslo, Stockholm, Dubai, Doha, Abu Dhabi, Manama, Muscat, Jeddah, Tokyo, Beijing) Ila sijawahi kuona mji mchafu kushinda Lagos.
3. Picha linaanzia airport hapo Ni mwendo wa uchafu kuanzia chooni, Hadi vibanda vya biashara (mbali na kuombwa rushwa na Immigration, customs na polisi wa kawaida). Ukiingia mtaan ndo utajua umefika mji wa namna gan. Hakika Lagos wanaupiga mwingi!
View attachment 2820122View attachment 2820123View attachment 2820124View attachment 2820125View attachment 2820135View attachment 2820152
wao WameshazoeaPole yao sana...
Kwa scale za Nigeria yes Abuja Ina afadhaliMji mzuri ni Abuja
Kabla hatujaenda Lagos tutazame hapa kwetu tupoje1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi