Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

Nasikia makao makuu ya uchafu duniani ni india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale jamaa nasikia ni wachafu sasa sijui watakua ngoma droo na wanaija.
Hapana India wanaongoza kwa uchafu duniani maana hata Modi aliposhika madaraka kama Magu walianza na usafi ila wahindi walimwambia PM sisi tumezaliwa kwenye uchafu hata ufanye nini hatubadiliki

Kuna kabila kazi yao ni kusomba kinyesi kwenye vyoo vya wazi kwq ndoo na makopo halafu wanajitwishwa kwenda kumwaga
Kuna documents niliona
Ila mimi binafsi nilenda India niloshangaa kuona wanauza sabuni ya Mavi ya ng'ombe hapo nikasema hawa hata wamasai wamefukiwa hapa


Ila Nigeria kuna sehemu inaitwa makoko slum hapo hata Kibera ya Kenya ina unafuu
 
Hapa JF kila mtu alipiga One O level na A level na kila mtu kashapita Airports mbalimbali duniani.
Inategemea na aina ya kazi zake.
Ila tunajuana sisi kwa kujiongeza ila sio mbaya Zurich nimepaelewaaaa.
 
Majitu meusi ni machafu mno.

Kila mahali ni uchafu. Full PARASITES.

Ukienda dar unakuta mavi kwenye mitaro.
 
Hebu weka uchafu wa manzese, sinza, shatilangu, migomigo, chai, na ferry tulinganishe
 
Kwa maisha ya mtu mmoja mmoja Tz tupo mbali sana kuzidi nchi nyingi zinazosemwa zina uchumi mkubwa Africa...thus why hata movement ya watu kutoka kutafuta nje ya nchi ni ndogo.
 
Lakini airport bado wanaotumia Murtala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…