Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

Kheee inabid ufatilie hili swala,usipuuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
# WAFUNGE TU
 
Wageni wanatumia passport ambavyo tayar ina alama za vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wageni wataruhusiwa kutumia passports zao kwa nini watz wenye pass za Tz wasiruhusiwe kusajili line zao? Hii Ndiyo double standard za kibongo kuthamini vya nje na kudharau vya kwako
 
kwa hili natabiri maandamano yanayoweza kumuondoa jiwe madarakani
 
Mda unatakiwa uongezwe mpaka mwezi wa 6 foleni bado kubwa sana
 
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…