Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe na pesa kwenye simu halafu usiisajili? Unless ni shilingi kumi (10/=).
 
Nadhani kwa hili bado NIDA hawajajipanga vzuri,kuna kundi la watu weng sana ambao wameshajaza taarifa zao lkn bado mpaka sasa hawajapatiwa namba za nida...sasa je hawa ambao hawajapatiwa hzo namba nao watafungiwa line zao ili hali taarifa zao zishafika nida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali safi!
Ipo siku mtu atauziwa line ya marehemu halafu wale wasio..kana waseme kaghushi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeuliza swali ninalojiuliza pia, ukiisha sajiri line kwa alama za vidole, itakuwa yako milele, utumie usitumie? Hakuna tens kwamba unyanganywe kwa sababu hujaitumia miezi 3? Ufafanuzi tafadhali!
 
nakuuliza tena uliona kazi kuanzisha uzi wako hadi udandie wangu? nisije anza kukuporomoshea matusi, hebu lete jibu
 
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…