kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3]Aminini nawambia, hakuna chembe ya line itakayofungiwa.
Teknolojia yetu bado ni changa Sana, back in 2016 tuliambiwa simu bandia/feki zitazimwa lakini walijibaragua na kuzifunga simu chache huku wakiahidi kuendelea kuzifungia. Hii simu ninayotumia kuandika haya ni feki na nilijiandaa kufingiwa 2016 lakini Wataalamu wetu walishindwa.
Hii chip yangu pia sijaisajili Wala Sina mpango na nina imani kubwa kuwa tarehe 21 nitakuwa hapa nikisoma na kuchangia mada mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app