Laiti mchaga angekuwa RAIS...maendeleo ya nchi yangekuwa mbali sana

Mhaya?Mhindi?
You are jocking!
 
wewe JACK "kazi ya kichwa ni kubeba akili na si masikio" kama unavyofanya.
husomi na kutafakari mimi nimesema asubuhi wewe unasema kwa siku!? kama MOSHI/ARUSHA ingekuwa karibu kama DAR -TANGA ndiyo ningelinganisha na MORO kwa siku, wewe ulitaka basi la ARUSHA litoke DAR mchana au jioni kama ilivyo hapo MORO?

Hivi IMPALA na NAURA SPRING ni hotel za MKWERE?

Wewe una akili za kushikiwa au ninakosea? OLD MOSHI na PUGU zinatofauti gani? ugonjwa uliopo old moshi ndio huo huo uko Pugu na umeletwa na hiyo serikali ya MKWERE.

Hospitali za dini kwani ni wapi ambapo hakuna dini?
kwanini dini hiyohiyo isijenge HOSP kama hizo mikoa mingine kwenye waumini wake?
wewe hauoni waumini wa huko wakishirikiana na viongozi wao ndio wameendeleza HOSP hizo? hata kama ni misaada kwanini ziwepo nyingi moshi tu?

Usiwe na bias naona katika yote niliyoyaandika uliyoyaona yanaupungufu ni haya tu? kwa hiyo hayo mengine umejifunza? kama ndivyo basi hilo ndilo lengo langu.
Wewe JACK huduma ya Hosp ya Mwananyamala, muhimbili zinatofauti gani na MAWENZI HOSP tatizo la hospitali ya MAWENZI ni serikali ya MKWERE na sio kazi.... rejea maandishi mekundu hapo juu.

/
 
Wewe JACK huduma mbaya ya Hosp ya Mwananyamala, muhimbili zinatofauti gani na MAWENZI HOSP tatizo la hospitali ya MAWENZI ni serikali ya MKWERE na sio kazi.... rejea maandishi mekundu hapo juu.

/
 
wewe JACK "kazi ya kichwa ni kubeba akili na si masikio" kama unavyofanya.
husomi na kutafakari mimi nimesema asubuhi wewe unasema kwa siku!? kama MOSHI/ARUSHA ingekuwa karibu kama DAR -TANGA ndiyo ningelinganisha na MORO kwa siku, wewe ulitaka basi la ARUSHA litoke DAR mchana au jioni kama ilivyo hapo MORO?

Hivi IMPALA na NAURA SPRING ni hotel za MKWERE?

Wewe una akili za kushikiwa au ninakosea? OLD MOSHI na PUGU zinatofauti gani? ugonjwa uliopo old moshi ndio huo huo uko Pugu na umeletwa na hiyo serikali ya MKWERE.

Hospitali za dini kwani ni wapi ambapo hakuna dini?
kwanini dini hiyohiyo isijenge HOSP kama hizo mikoa mingine kwenye waumini wake?
wewe hauoni waumini wa huko wakishirikiana na viongozi wao ndio wameendeleza HOSP hizo? hata kama ni misaada kwanini ziwepo nyingi moshi tu?

Usiwe na bias naona katika yote niliyoyaandika uliyoyaona yanaupungufu ni haya tu? kwa hiyo hayo mengine umejifunza? kama ndivyo basi hilo ndilo lengo langu.
Wewe JACK huduma ya Hosp ya Mwananyamala, muhimbili zinatofauti gani na MAWENZI HOSP tatizo la hospitali ya MAWENZI ni serikali ya MKWERE na sio kazi.... rejea maandishi mekundu hapo juu.

/
 
Wewe kumbe huwajui wachaga.Jamaa hawa wako interested na maendeleo yao binafsi na ndugu zao. Usishangae Mchaga akiwa Rais waka accumute all the countries wealth unto themselves.Wako selfish sana.Afadhali Mpare bahili kuliko Mchaga mwizi.
 
Mhaya?Mhindi?
You are jocking!

Sir, I feel truly liberated. Ninamthamini mtu kutokana na mchango wake wa jamii. Kuna polical analyst wetu, Rutashubanyuma. Katika kipindi cha uchaguzi uliopita alipigia debe sana CHADEMA. Lakini inawezekana siku akigombea nafasi yoyote utamtazama kutokana na kabila lake na sio mchango wake kwa taifa.

Mtazamo wako kuhusu Mhaya/Mhindi, unawakilisha mtazamo wa watu wengine kuhusu waChagga. Watataka mChagga alisichagua Mchagga mwingine kuwa waziri mkuu au waziri wa ulinzi. Na akifanya hivyo ataonyesha ukabila tayari.

Wachagga wanaendelea labda kwa sababu wanayo strong sense of personal responsibilities. Maendeleo yao hayategemei sana initiatives za serikali ambazo toka uhuru upatikane are total failures.

Kwa upande mwingine, mmakonde akipata elimu hataki kurudi nyumbani. Na akirudi nyumbani hamsaidii ndugu yake apate elimu. Anategemea serikali msomeshe kila mtu. Kwa mfano ulipokwenda Moshi na kuona wanavyofanya wachagga ulifanya nini kukopi maendeleo ya waChagga? Mkapa alimaliza digrii 1961, je alifanya nini kwao kabla ya kuwa rais?
 
Chagga=jews

Furahi,

Please, alama ya sawasawa ina maana kubwa sana. Mwache mchagga awe mchagga na usimlinganishe na jews. Hii ni kwa sababu hakuna siku mjews atajilinganisha na mchagga.
 
Alex masawe,babu sambeki,mushi a.k.a white,uswaa,dav mosha,sawaya hawa ndio wasomi wana Phd
 
Mmakonde,

..nadhani maendeleo yaliyopatikana UCHAGANI yanatokana na kilimo cha KAHAWA.

..bahati nzuri kwa hawa wenzetu zao la kahawa limekuwa stable[bei,uzalishaji] kwa muda mrefu sana, na halijawahi kuporomoka kama vile korosho au mkonge.

..suala lingine ni kwamba mkoloni hakuwakamata na kuwatumikisha Wachaga kama ilivyo kwa makabila mengine. It was more efficient/profitable kuwaachia Wachaga walime kahawa na mkoloni abakie na jukumu la ununuzi tu.

..kuna maeneo ya nchi hii ambayo yalirudishwa nyuma kimaendeleo kwasababu Mkoloni aliyatawala kikatili. yako maeneo ambayo walitaka kulima kahawa kama Wachaga, lakini kwasababu mkoloni alikuwa na idea nyingine na maeneo hayo basi alizuia jitihada hizo tena kwa mabavu.

..yako maeneo ambayo yalikuwa mahsusi kwa mashamba makubwa plantations. yako maeneo ambayo yalikuwa mahsusi kwa kukamata manamba. ilikuwa ni vigumu kwa wananchi wa maeneo hayo kuweza kujihusisha na shughuli binafsi.

..sasa unaweza kusema kwamba Mkoloni ameondoka miaka mingi mbona wananchi bado wako vilevile? jibu langu ni kwamba tumekuwa tukitawaliwa na serikali za hovyo-hovyo tangu tupate uhuru. hakuna hata moja iliyoweza kubadili maisha ya Mtanzania.

NB:

..maeneo yote ambako Kahawa inalimwa nchi hii wananchi wake wana ahueni ya kimaisha.
 
"kazi ya kichwa sio kubeba akili pekee bali ni vitu vingi ikiwamo utashi na werevu"
wewe ulijiuliza kwa nini mabasi ya kwenda moshi/ars ni mengi kuliko mikoa mengine/daladala za kisarawe/costa za moro.sina uhakika kama una idadi ya mabasi yanayoenda kila mkoa hiyo asubuhi,kama ni hivyo tupe idadi hapa!pia haimaanishi abiria wote wanaoshukia moshi(abt 700miles) ni wachaga,sioni kinachokushangaza kwani kama ni umbali basi ungekuwa na akili kama ungejaribu kujua idadi ya abiria wanaoenda mwanza(about 900miles+)(asubuhi) kwa ndege,treni na mabasi nadhani hapa ungewapa hata mke wasukuma.sidhani kama umetafiti ni kipindi gani cha mwaka mabasi hayo huwa mengi?
Kumbe hotel unazoziita 5* ni impala na Naura springs!!! Hapa sina cha kusema.
Nakuomba utembelee mawenzi hosp halafu ulinganishe na Bombo hosp(reg hosp) halafu KCMC na Muhimbili(ref hosp)utarekebisha usemi wako.
Kumbuka wakoloni(wazungu) walichagua maeneo yenye rutuba na kujiestablish,kueneza dini yao.ukiondoa pwani ambao walishakua waislamu sehemu kubwa ya bara walipokea vizuri dini na kufanya makanisa kuwa ktk hali hiyo ya sasa(sio moshi tu nenda karatu utakuta biblia ya ki-irak,ifakara,peramiho n.k).tembea uone.
"usiwe kama mtoto ukimwambia ndege ana mabawa basi hata akiona nzi atamuita ndege"
 
JACK MIMI sijaona hoja hapa, kuhusu mabasi nineona umenielewa vizuri,

ubovu wa huduma za hospitali za mikoa na wilaya ni mbaya nchi nzima.
kwa bahati mbaya sana hiyo bombo unayosema ndiyo nimezaliwa pale, kumejaa kila aina ya uzembe na rushwa

hoteli wala sina uhakika na uelewa wako wa 5*
 
inafurahisha unapokubali hali ni mbaya nchi nzima,huo ndio ukweli iwe uchagani au sumbawanga.
point ni kwamba zote ni hosp za mikoa na za serikali zenye maudhi yanayofanana bombo is far better kuliko mawenzi ambayo ni ya uchagani.
Hivi unazifahamu hotel ya impala na N-springs kama hizi ni 5* sijui moven pick itakua ya nyota ngapi?
 
right
 
JF sikuhizi imebadilika.. UDINI... UKABILA
 
Mmakonde:

You are very cheap. Mambo anayofanya mchagga yalifanywa na wazungu zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Sasa kwanini usitake wazungu tu wakutawale?

kwahiyo wewe kwako mzungu ni bora kuliko mwafrica?
you are the one who is cheap,tena nahisi you are "cost-less"
 
Nimeona nianze kukuuliza marahisi ili nipime IQ YAKO KWA % na mara baada ya kujibu nitakutumia uwezo wa kichwa chako kubeba akili.

wewe unaishi morogoro?
PARADISE ni 5* hotel
kubwa sana kubwa na ndogo. je kubwa ni sawasawa na ndogo?
mtihani -ukipata 30% ukawa wa kwanza na ukipata 80% ukawa wa mwisho ni % ipi itakupa changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…