Laiti mchaga angekuwa RAIS...maendeleo ya nchi yangekuwa mbali sana

Mmakonde:

You are very cheap. Mambo anayofanya mchagga yalifanywa na wazungu zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Sasa kwanini usitake wazungu tu wakutawale?

Mungu wangu.....!!!!
 
Nimekubali wewe ndio huko sahii, hata hivyo kuna kabila kama wahaya miaka ya nyuma walikuwa juu kuliko mchaga, kwa kuwa kilimo cha kahawa kiliwafanya wajitegee kwa kujisomesha, Mkuu wa nchi alipewa kuongoza nchi Bk ilikuwa ya kwanza kualibiwa kisiasa na kiuchumi, walianza kwa kua mifugo kwa kuaribu majosho, wakaua chama BCU Namulaani Sir Gearge kahama kwa uaribufu huo, kilichofuata kukamata wahujumu uchumi, kuziba mipaka ya Uganda na Rwanda, kuaribu shule za mashirika ya dini (Rugambwa,) Ihungo....kesi za uhaini,kuingiza BK, au Kagera katika Mapigano ya Muda Mrefu, hivyo vyakula, hofu vilitawala, mengine mengi siwezi kuyasema hapa, lakini kwa upande wa wachaga hakuwepo uharibifu wowote, na chief Mareale kuna vitu alipandikiza zidi ya serikali hivyo hawakudhulika sana kihiyo. kama kungekuwepo mpambano wa nchaga na Mhaya nafikiri wengi wanajua nani angekuwa juu kimaendeleo, bila kusahau kuwa kale ka ugonjwa kariaribu kabisa
 
Wewe kumbe huwajui wachaga.Jamaa hawa wako interested na maendeleo yao binafsi na ndugu zao. Usishangae Mchaga akiwa Rais waka accumute all the countries wealth unto themselves.Wako selfish sana.Afadhali Mpare bahili kuliko Mchaga mwizi.

Haya maneno ya standard 2 at best. Mendeleo binafsi kivipi Mpare Mwnzangu? Kwani hata wewe hujali maendeleo binafsi? Kuwa na nyumba nzuri, gari, etc ni binafsi lakini kuwa na shule , hospitali, mahotel, matransport -Mabasi sio sinabfsi . Fikiria zaidi ya hapo basi.
 
Kwanza nivizuri ukakielewa kile unachokizungumzia na kisha ujue sababu ya kukizungumzia. Mchaga ni nani,nini asili yake, nini chanzo cha uwajibikaji wake? Hayo ni maswali ya msingi unapaswa kujiuliza kabla hujaanza kutoa hoja.
Napenda kwanza niwapongeze wachagga kwa juhudi na maendeleo waliyo nayo...maendeleo ya mtu yoyote kwa % kadhaa huchangia maendeleo ya nchi..kwa mfano unapokwa na gari kivyovcyote utatoa msaada inapolazimu either kwa mgonjwa ua kwa wanafunzi ivyo kupunguza tatizo ambalo lingejitokeza. So maendeleo ya wachagga yanamchango mkubwa kwa nchi...watu wengi wameajiriwa kwenye vibanda,Bar,Madereva wa daladala nenda mwenge utadhibitisha hilo. Je hata kana ni informal secto ila iepunguza idadi ya ombaomba na uhalifu.
Wachaga wanafanya kazi na kupata kipato kama makabila mengine...ila tofauti na makabila mengine mchaga ana Money Discipline and Financial Intelligence. Hivi ni vitu vya msingi sana katika maisha.Haijalishi ni kipato kiasi gani unapata bali kiasi gani unaweka hakiba.Unapo dharau kibanda cha chips na genge mwenzako ndiko anako patia kipato chake na kutajirika.
Maendeleo pia hupatikana kwa kujitolea. Mfano katika ujenzi wa shule za kata Rombo ndio imevuka malengo kwa kuwa na shule 3-4 kwa kata moja, Sababu ya mafanikio haya ni kujitolea si fedha bali nguvu kazi (public work) ivyo ile hela ya TASAF ikaweza kukizi ujenzi wote. Ukilinganisha ma mikoa mengine kama vile Mtwara ambao wananchi walikuwa wanalipwa instead ya kujitolea ivyo fedha kutotosheleza ujenzi wa shule za kutosha.
Ujasiria mali- mimi nimekulia huko uchagani tangu nikiwa mdogo STD 4 nimejua thamani ya hela, kwamba hela ndo kila kitu, nimehimizwa kufuga kuku,sungura,njiwa na kutengeneza kibank kwa ajili ya kuhifadhi hela,,,elimu hii ambayao ndio inasisitiziwa sasa kwa vyuo vikuu, mimi na vijana warika langu tumeifanya bila kujua ni ujasiriamali since i was young.
So maendeleo ya wachaga sio kwa sababu za kisiasa au serikalii pekee bali wachaga pia.
NB: ELIMU YA UJASIRIA MALI itakayo mwezesha mtanzania kuwa na Finacnial descipline ndio suluhisho la mtanznaia sio kabila fulani kutoa rais.Ila nivizuri anaeongoza awe amekulia katika mazingira ya kujituma,yenye changamoto za kimaendeleo, mwenye exposure ya maendeleo. Wachaga wanaweza
 
Naomba nikusahihishe kidogo kuhusu kujipendelea na umimi. Mimi ni mchagga na ninalifahamu kabila langu vizuri sana.Wachagga hatupendani hata kidogo.!Kinachotuletea maendeleo ni challenge! Wachagga tuna tabia ya kushushuana na ku-despise each other. Hata ndugu akitaka kufanya ki2 utasikia " mwache tuone kama ataweza". Hiyo ndiyo inayotupa changamoto na hasira ya maendeleo. Tofauti yetu na makabila mengine kama Wahaya ni kwamba huwa hatubebani kama wanavyobebana. Kwa wachagga kama huonyeshi uwezo wa kuweza kujisaidia hakuna atakayekupush.
 
kwahiyo wewe kwako mzungu ni bora kuliko mwafrica?
you are the one who is cheap,tena nahisi you are "cost-less"

Great thinker,

I have the right to be stupid. Did I abuse that previledge?
 
That's true kabisa...., sema sio watu wote wa pwani ni wazembe me ninawajua wengi and they are very intelligent..hata me mwenyewe nashangaa........... Sema wachache kama Dr,Dr,Dr baba ridhimoja..... Ni mahopless.
 
Mh. Mbowe anajinasibu sana kuwa ana mabiashara yake makubwa Nje na Ndani ya nchi, sijui ni biashara Gani zaidi ya hotel ambayo hata Sugu anayo.

Kuna Tetesi na Taarifa nilikuwa naisikia miaka mingi sana iliyopita kuwa kabila la Wachaga kutokana na nguvu yao kiuchumi, kielimu na muammko mkubwa wa kibiashara Nyerere aliona sio busara sana kuwa na Rais anatoka katika Kabila strong na lenye nguvu kiuchumi ambalo lingesababisha kabila moja kuwa na tabaka la juu na lingine kuwa tabaka la chini.

Pia tulisikia kuwa kabila hili wanapenda sana madaraka , na pesa na kuwa siku wakipata uongozi wa juu Kuna uwezekano wakatumia madaraka kujipatia Fedha , tunachokiona Chadema na Mbowe ndo hicho hicho, Kila mtu anajua Mbowe anajipatia Fedha nyingi kupitia Chadema kuliko hata kwenye Mali na biashara za urithi anazotamba nazo Kila siku.

Pia Wachaga walihusishwa na upendaji madaraka kufikia kutaka kuwa na nchi ya pekee ndani ya Tanganyika, tunajifunza kupitia Mbowe kuwa wachaga wanapenda kung'ang'ania madaraka, na siku wakipewa uongozi wa juu wanaweza wasikubali Kuachia madaraka.

Pia Wahenga wanausemi wao wa Lisemwalo Lipo kama halipo linakuja, Kauli ya nyerere ilikuwa ni ya kweli na Mbowe ndo shahidi.
 
Kama Mbowe CHADEMA
 
Rudia yako ya kwanza. Unamtaka mchagga kwa sababu ya maendeleo yao. Kwanini usimtake mzungu au mjapani kwa maendeleo yake. Na kama unataka mtanzania mwenzako, ukienda Kagera wahaya nao hawakuchelewa kwani usitake muhaya?
Mh. Mbowe anajinasibu sana kuwa ana mabiashara yake makubwa Nje na Ndani ya nchi, sijui ni biashara Gani zaidi ya hotel ambayo hata Sugu anayo.

Kuna Tetesi na Taarifa nilikuwa naisikia miaka mingi sana iliyopita kuwa kabila la Wachaga kutokana na nguvu yao kiuchumi, kielimu na muammko mkubwa wa kibiashara Nyerere aliona sio busara sana kuwa na Rais anatoka katika Kabila strong na lenye nguvu kiuchumi ambalo lingesababisha kabila moja kuwa na tabaka la juu na lingine kuwa tabaka la chini.

Pia tulisikia kuwa kabila hili wanapenda sana madaraka , na pesa na kuwa siku wakipata uongozi wa juu Kuna uwezekano wakatumia madaraka kujipatia Fedha , tunachokiona Chadema na Mbowe ndo hicho hicho, Kila mtu anajua Mbowe anajipatia Fedha nyingi kupitia Chadema kuliko hata kwenye Mali na biashara za urithi anazotamba nazo Kila siku.

Pia Wachaga walihusishwa na upendaji madaraka kufikia kutaka kuwa na nchi ya pekee ndani ya Tanganyika, tunajifunza kupitia Mbowe kuwa wachaga wanapenda kung'ang'ania madaraka, na siku wakipewa uongozi wa juu wanaweza wasikubali Kuachia madaraka.

Pia Wahenga wanausemi wao wa Lisemwalo Lipo kama halipo linakuja, Kauli ya nyerere ilikuwa ni ya kweli na Mbowe ndo shahidi.
 
Wak
Wakinga je?
 
Ila anaanza na kuujaza mfuko wake, mfuko ukijaa ndipo mengine yanafuata. Na mifuko ya ndugu inajazwa kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…