Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi!
Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi!
Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa walipa kodi!
Hizo pesa zinazozagazwa hovyo na kupelekwa huko chadema zinatoka wapi? Nani mfadhili mkuu wa hizo fedha?
Nani anawarambisha asali hao chadema wakati miradi ya maendeleo haina fedha imesimama?
Nani huyo anaegawa fedha kwa chafema wakati wakandarasi wa barabara wamesimama kazi kusubiri fedha?
Nani huyo anagawa fedha chadema wakati mashuleni hakuna madarasa ya kutosha?
Nani huyo anagawa fedha wakati madakitali katika zahati za serikali hawana hata AC ofisini mwao.
Nani anaewapa chadrma hizo fedha wakati madawa hosp hakuna?
Ni nani huyu anaegawa fedha huko wakati wananchi hawana maji?
Hivi ni nani huyu asiyekuwa na chembe ya huruma kwa walipa kodi kiasi cha kugawa fedha huko chadema hadi baadhi ya wanachama wamefyatuka akili?