Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

Chomoa kama unaumia
 
Watanzania wamedumaa sana yaani Chama cha Upinzani kinalaumiwa kwa maendeleo ya Nchi harafu ukute nae ni graduate kabisaa sijui ni vyuo vya wapi hivi vinatoa aina hii ya watu...
 
Uko nje ya laini ya kuipata rushwa, ungekuwa uko wa kwenye laini sasa hivi ungekuwa unakenua meno na toothpick
Please trying again later

Maana uko nje kabisa ya network

Unabariki rushwa?
 
Zingine hadi wanazipeleka chadema
Kwamba CDM hawana wa kuwashika mkono? Wapo watanzania wana pesa ndefu wanacheza kotekote au mmesahau yule afisa wa mamlaka ya mapato aliyetumbuliwa na Jpm?

Huku mtaani wafanyabiashara wengi wakubwa wanacheza huku na huku. Wako Dodoma na Dar es salaam na Wanawezesha vyama vyote.
 
Kwa faida ya nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…