Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

TOC yote haifai

Ni wahuni, selfish and talents killers
 
Bypass mambo kama haya kijanja sana wala huna sababu ya kumlalamikia mtu yeyote yule.

Unafahamu Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN)?

Channel ndoto zako kupitia platforms zake hakika hakuna kitakachokuzuia.

Shiriki kwenye Programs zake mbalimbali yasio na idadi tena kwa muda wako unaona inafaa. Utaonekana.

Na kwa niaba ya Rais hakuna wa kukuzuia kwa figisu kwenye jambo lolote lile. Ushindwe mwenyewe tu.
 
Sasa hiyo/hizo taasisi ni za kazi gani?
 
Nasikia ndio michezo ya Bayi hiyo, akigundua una kitu na utafika mbali lazima atakuletea figisu na kukukata kichwa.
Kwani yeye ndiye mwenye maamuzi yote na kwa muda wote? Hata kama aliletea heshima kubwa taifa letu lakini kama hakuna mabadiliko ya uongozi na njia ya wazi ya kuwa-recruit na kuwachuja wanariadha basi kuna tatizo kubwa.
 
Na nyie mnapenda sana kukumbatia wazee
Huyu si awekwe pembeni tu
Kwenye siasa wazee ndio maana kila mahali wamo
Vijana acheni hizo wakataeni hawa waandikeni kwenye blogs zenu
Wanariadha wakijulikana wana vibaji majuu hupelekwa college za maana ili wawe top baadae
Inabidi serikali iamue moja aidha warudishe Riyadha mashuleni au wawape fursa vijana jeshini na tuwe na michezo ya aina zote nchini
Mzee akalee wajukuu huyo
 
Kwani JWTZ hawajamwona?
Watamwonaje wakati ni yeye anapitisha watu
Kwa kuanzia NAFIKIRI angewekwa mtu senior ambaye sio mkimbiaji kuhakikisha tu aliyeshinda ndiye anapewa nafasi ya kuwakilisha Nchi; Kuangalia Dakika & Sekunde kwa usahihi kinachotakiwa ni uelewa tu wa kawaida wa namba LAKINI PIA, milango ya kureport figisu figisu iwe wazi
 
Alipitia JKT alifukuzwa sasa ni winga Kariakoo.
Alimpiga mjeshi si unajua wajeshi wetu. Kama umepitia jeshi utajua nazungumza nini
Changamoto inaanzia hapo alipompiga mjeda!.

Yote kwa yote maisha bado yanaendelea, hakupaswa kukata tamaa, pia hana washauri huyo dogo maana hapo ndipo kile kipaji Mungu kampa huwa kinaondoka au kupewa mwingine.

kama upo naye jirani mpe huu ujumne; hakuna mafanikio rahisi, anapaswa kupambana haswa, yawezekana kufukuzwa huko JKT ni njia yake kuelekea kwingine.

Mfano alipokuwa anafukuza upepo na kuonekana anafanya vizuri alipaswa kuambiwa huko mbele kuna mwanga ajipe bidii huko huko kwenye kumenya mbuga.

Mfano, katika kumenya mbuga kupitia hizi marathon uchwara zetu rukuki angekuwa anapata hamasa kwenye zile zawadi, then kama angeondoka anafanya vizuri sana, kupitia pesa ambazo amepata angeunga juhudi ukavuka boda kokote tu, kwa mzee Ruto au Ethiopia.

Kajikabidhi kwa mashirika/tasisi zao za riadha na waambie upo vyedi kukata upepo na unataka kupeperusha bendera ya nchi yao.

Usije hapa kulalamika wkt dunia haina kufuri ipo wazi buana.
 
Ni kujifungulia Dunia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…