Laiti UVCCM wangejua chama chao ndio chanzo cha umaskini kwa kuitumia dola kuzuia mabadiliko wangekihujumu kwa maendeleo mapana ya Taifa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.

Ujumbe huu umfikie jokate kidoti mwegelo kuwadi wa matapeli.
Nipo hapa geita nimevaa mijezi yao ila siwapendi.
 
Wanageita tusidanganywe na matapeli tunaambiwa geita ya ya madini wakati sisi tunakufa na umaskini.
 
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.

Ujumbe huu umfikie jokate kidoti mwegelo kuwadi wa matapeli.
Nipo hapa geita nimevaa mijezi yao ila siwapendi.
Tatizo nafasi za juu zote za uvccm ni za watoto wa vigogo waliobaki wote ni maandazi yakipewa doti Moja ya kanga inatosha
 
Sisi tuliopo hapa uwanjani tunatumiwa kama daraja la watoto wa vigogo.
 
Hatuwezi kutoa msimamo kama vijana wakati nyie ndio mnaonufaika
 
Wakina mama achaneni na hawa matapeli wa ccm huu sio umoja umoja wetu ni umoja wao watoto wa vigogo wa ccm Sisi makabwela tutaokoka tukijitoa kwenye makucha yao.
 
Mjibuni TAL kwa hoja lugha za wazaramo usiziharibu acha siasa za kishamba
 
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.

Ujumbe huu umfikie jokate kidoti mwegelo kuwadi wa matapeli.
Nipo hapa geita nimevaa mijezi yao ila siwapendi.
Chama Cha Mazezeta
 
Binafsi sina tatizo na samia kama mtanzania na mtu ambae amejitoa na siasa mbaya za mwanakwendazake
 
Ila ccm ni chama kisicho badilika kitaleta upuuzi uleule we better crap this Party before it harms us all.
 
Umasikini wa Africa unachangiwa kiasi kikubwa na wanasiasa bila kujali chama. Akitokea kiongozi akapunguza mishahara na posho za wabunge na kutoa mishahara mizuri kwa wataalamu na watafiti tutafika mbali sana. Huku Africa siasa ni biashara. Raisi wa Burkana Faso kaanza kupunguza mishahara na posho za wanasiasa ni vyema wengine pia wakaiga.
 
Nimeanza kusoma nilipofika tu hapa ikabid niache kusoma "Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
 
Tatizo nafasi za juu zote za uvccm ni za watoto wa vigogo waliobaki wote ni maandazi yakipewa doti Moja ya kanga inatosha
Mwiguru hajawahi kuwa mtoto wa kigogo ila ndio waziri wa fedha

Kidoti hajawahi kuwa mtoto wa kigogo pia
 
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.

Ujumbe huu umfikie jokate kidoti mwegelo kuwadi wa matapeli.
Nipo hapa geita nimevaa mijezi yao ila siwapendi.
Akili ni nywele kila mtu ana zake !
That’s the problem !
 
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa.
1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya.
2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania.

Ujumbe huu umfikie jokate kidoti mwegelo kuwadi wa matapeli.
Nipo hapa geita nimevaa mijezi yao ila siwapendi.
Wanajua ila sasa ndio ulaji ulipo
 
Back
Top Bottom