Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge.
Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks.
Mifano ni mingi ya waliowahi kumkashifu/kumtukana bila ya yeye kuwajibu zaidi ya kuwapuuzia. Na hata majuzi watoto aliowazaa walivoamua kutafuta baba mwingine kwa kuhama chama na kuanza kumkashifu yeye kama baba aliewalea bado Mh. Freeman hakuwajibu chochote. Ameendelea kuwa kimya na kuwapuuzia nazani ipo siku watajuta na kutubu. Baba ni baba tu hata kama kakukosea unasepa kimyakimya sio kupiga mayowe.
Wana Hai mpelekeni tena huyu mtu Bungeni kwa kishindo, najua kwenye urais atamwachia Tundu Lissu.