Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

Wapinzani wa kweli walishapotezwa siku nyingi nchi hii na walitoka ndani ya ccm. Ukiona mtu anawika na kupewa airtime kwenye upinzani jua huyo hamna kitu, bali NI strategy ya kuzuga watu. The real opposition can never survive here.
Wanakuua sio? Basi haina haja ya kupoteza muda na uchaguzi sijui na vitu gani huko. Tubaki na mfumo wa chama kimoja
 
Kuna mbinu nyingi za kumtoa mtu kwenye ramani sio lazima kuua.
Tufanye nini ili kupata UPINZANI wa kweli nchi hii? Tuanzishe chama kipya? Tutawatoaje mamluki katika vyama pinzani vilivyopo? Hizo nchi zingine ambazo UPINZANI umechukua nchi hakukuwa na mamluki kama hivi?
 
Wacheni uwoga ktk kusimamia mnachokitaka. Tatizo hamuwajibiki ila mnategemea akina Fulani wawaletee mabadiliko. Leo hii vijana wanamsubiri lissu and the likes wawe Frontline kuongoza mapambano. Vijana mpo nyuma ya keyboard kupiga kelele mkitishiwa vibomu vya machozi mnarudi nyuma. No one want to be sucrifised for others. Kwa lugha nyepesi vijana sio wazalendo and are easily manipulated or waoga Sana.
BY THE WAY, UPINZANI KUINGIA MADARAKANI SIO GUARANTEE NCHI IKAWA NA MAENDELEO.

Maendeleo ya nchi yanatokana na utashi positive wa viongozi na support ya Wananchi ktk kufanya kazi na kuheshimu misingi mnayojiwekea. Mfano China haina demokrasia ya vyama vingi but look where they are today.
 
Back
Top Bottom