hapo sina comment MkuuTatizo la mbowe ni kitengo wa ccm. Akijirekebisha Hilo àtakuwa mwanasiasa real Sana
Utacomment Nini Sasa zaidi ya kuunga mkono hoja?hapo sina comment Mkuu
Si kwweli mbona ameumizwa sana, anawindwa Sana,rejea manunuzi na kuunga juhudi,kufungwa jela,nk.Tatizo la mbowe ni kitengo wa ccm. Akijirekebisha Hilo àtakuwa mwanasiasa real Sana
Ww ni mwongo wa mchanaTatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Hee! Prove.Tatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Kweki kabisa.Bila tashwishwi!Mbowe ni matured, exposured na civilized.Ye ndo ameshikilia amani ya nchi yetu.
Hope utakuwa na kitambulisho cha hiyo kazi yake, hebu tuwekee hapa tukione.Tatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Mbowe anajua kusoma mchezo mkuu, umesahau ya lowassa 2015? kubadili gia anganiKwa sifa hizo zote ulizompatia kwanini amwache Lisu tena?
Are you trying to be sarcastic?
Duuh, issue nishaisikia sana sijui ni kweli? Sasa UPINZANI wa kweli ni chama gani TZ, kila chama matatizo tu, basi waweke mgombea BinafsiTatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Uwongo, hata hujui kitu ni stori za vijiwe vya majuha wa CCMTatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Wapinzani wa kweli walishapotezwa siku nyingi nchi hii na walitoka ndani ya ccm. Ukiona mtu anawika na kupewa airtime kwenye upinzani jua huyo hamna kitu, bali NI strategy ya kuzuga watu. The real opposition can never survive here.Duuh, issue nishaisikia sana sijui ni kweli? Sasa UPINZANI wa kweli ni chama gani TZ, kila chama matatizo tu, basi waweke mgombea Binafsi