Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,837
Wanakuua sio? Basi haina haja ya kupoteza muda na uchaguzi sijui na vitu gani huko. Tubaki na mfumo wa chama kimojaWapinzani wa kweli walishapotezwa siku nyingi nchi hii na walitoka ndani ya ccm. Ukiona mtu anawika na kupewa airtime kwenye upinzani jua huyo hamna kitu, bali NI strategy ya kuzuga watu. The real opposition can never survive here.
Kuna mbinu nyingi za kumtoa mtu kwenye ramani sio lazima kuua.Wanakuua sio? Basi haina haja ya kupoteza muda na uchaguzi sijui na vitu gani huko. Tubaki na mfumo wa chama kimoja
Tufanye nini ili kupata UPINZANI wa kweli nchi hii? Tuanzishe chama kipya? Tutawatoaje mamluki katika vyama pinzani vilivyopo? Hizo nchi zingine ambazo UPINZANI umechukua nchi hakukuwa na mamluki kama hivi?Kuna mbinu nyingi za kumtoa mtu kwenye ramani sio lazima kuua.
Hapana mbona hana features za ulafi ulafi kama za wenyeviti wengine.Tatizo la mbowe ni kitengo wa CCM. Akijirekebisha hilo àtakuwa mwanasiasa real sana
Wacheni uwoga ktk kusimamia mnachokitaka. Tatizo hamuwajibiki ila mnategemea akina Fulani wawaletee mabadiliko. Leo hii vijana wanamsubiri lissu and the likes wawe Frontline kuongoza mapambano. Vijana mpo nyuma ya keyboard kupiga kelele mkitishiwa vibomu vya machozi mnarudi nyuma. No one want to be sucrifised for others. Kwa lugha nyepesi vijana sio wazalendo and are easily manipulated or waoga Sana.Tufanye nini ili kupata UPINZANI wa kweli nchi hii? Tuanzishe chama kipya? Tutawatoaje mamluki katika vyama pinzani vilivyopo? Hizo nchi zingine ambazo UPINZANI umechukua nchi hakukuwa na mamluki kama hivi?