drugdealer
Senior Member
- Nov 8, 2024
- 133
- 245
Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna gesi?imebarikiwa kila aina ya rasilimali
Kigoma,rukwa,katavi,mbeya ni lake zone pia,unamaanisha ipi?Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
Pwani wanatoboa vizuri tuKibongo Bongo hakuna zone yoyote itakayotoboa bila zones zingine, HAKUNA.
Hilo pori halina kituPwani wanatoboa vizuri tu
kabisa..kabbbisa mkuu!Kigoma ni mkoa pekee unaoweza kuwa nchi
We hata historia ya kwa nini nchi inaweza kujitenga ufahamu.Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
kilimoWasukuma waaribifu wa mazingira wamekata miti yote ktk hiyo zone na sasa wanahamia Ruvuma kwa spidiI hate them
nifahamisheWe hata historia ya kwa nini nchi inaweza kujitenga ufahamu.
Embu nenda kasoma uturuki inavopambana na kabira la wakudri ambalo kama tabia zetu linavyofanya uturuki .
Hii nimoja sample