Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za wasukumaPepsi au 7up?
Mbingu na nchiZone ya kati inaweza kuwa nchi
Hujafika kanda ya kaskazini mkuuAmini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
Kuna miti na ndegeHilo pori halina kitu
Nakupinga, huyo dsm mwenye hatoboi ht wiki moja bila zone zingine.Bila ya Daslam, hakuna cha zone wala kanda inayoweza jitegemea kwa nchi hii.
IpoBila ya Daslam, hakuna cha zone wala kanda inayoweza jitegemea kwa nchi hii.
Umetumwa wewe. Au ni muamiaji haramu! Tanzania ni nchi moja.Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
Acha dharauMbingu na nchi
Ukitoa maeneo yaliyo karibu na Dar, bc hayo maeneo mengine hazina tofauti na kiwanja chenye mgogoro hakuna kitu kinafanyika.Nyumba za Udongo
Achana na hilo jangwa, hata ngamia hawezi kuishi hapo.Zone ya kati inaweza kuwa nchi
Labla kama watakula oxygenKanda ya Pwani ikiunda nchi ya peke yake miezi miwili tu inakuwa kama South Africa
Yaani nimewasifia kusema kuwa sio nchi tu bali mnaweza mpaka kuwa mbingu halafu unasema niache dharauAcha dharau
Mkoa mkubwa ila sehemu za uzalishaji haizidi eneo la Dar 😂Kuna miti na ndege
Kuna bahari yenye kila aina ya samaki pia kuna vyakula pendwa kama ming'oko na koroshoLabla kama watakula oxygen
Dah ww jamaa 😂Kuna bahari yenye kila aina ya samaki pia kuna vyakula pendwa kama ming'oko na korosho
Hapo tunaunganisha na Zanzibar na kuiacha Tanganyika nchi hohehahe zaidi kuwahi kutokea dunianiDah ww jamaa 😂
Sijategemea kujibiwa ety Dar kuna bahari hvy watakula samaki 😂 sasa mbona kuna samaki wanatoka kanda ya ziwa na kuletwa Dar?Hapo tunaunganisha na Zanzibar na kuiacha Tanganyika nchi hohehahe zaidi kuwahi kutokea duniani
Nafikiri ni kuwasaidia tu wavuvi wakisukuma na wao wapate riziki japo kidogoSijategemea kujibiwa ety Dar kuna bahari hvy watakula samaki 😂 sasa mbona kuna samaki wanatoka kanda ya ziwa na kuletwa Dar?