Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

Acheni kuleta hisia za kujitenga, kuna wengine hisia zao ni kanda ya kazkazini, wengine kanda ya kusini. Kwa akili hizi anaweza kuibuka mwehu kutaka eneo fulani la nchi lijitenge kwa dhana ya kuwa ni tajiri, masikini au watu wake hawapewi maendeleo na serikali, ukabila, udini na ukanda. Mentality hizi ni shida kwa taifa
tumeacha
 
wewe huna cha kuandika hivi hawa wafuga ng'ombe wote ukiwarudisha kwao kutoka pande zote za TZ si itakuwa balaa fikiria kwanza ni washamba hawana wanachojua ni kama magogo itakuwaje
bado unamawazo yakizamani wewe kuwa kanda za ziwa wote ni washamba
 
yule jamaa jirani ni mpuuzi sana, kafanikiwa congo mashariki kwa banyamulenge kujiona wanatengwa na serikali. Serikali ya huko ikashindwa kudhibiti mentality ya kujitenga eneo la mashariki wakaanzisha uasi mgogoro mkubwa ukaibuka. Sasa kama muhuni huyu akiamua kupandikiza mentality kwa kanda ya ziwa ijione ni kubwa na ina utajiri kuweza kuwa nchi anaweza tu ikiwa system ya nchi ni dhaifu litaibuka jitu la kanda ya ziwa na kuazisha harakati za kujitenga likidai madai mbalimbali na hilo jamaa jirani litaingiza jeshi lake kuwasaidia kanda ya ziwa kujitenga kama linavyofanya congo mashariki. Yule jirani mwingine naye ataingiza jeshi upande ule akidai analinda mipaka yake. Cha kufanya mwanasiasa, mwanadini, mkabila na mkanda yeyote atakayejitokeza kuleta mentality ya kutenga eneo la kanda ya ziwa adhibitiwe mapema
ni mada tu mkuu syo siriazi usiogope hakuna mTanzania mwenye uthubutu wa kuanzisha harakati za kujitenga na hata kupindua nchi hakuna
 
Tutamuomba mzalendo wa afrika kagame aimege Kanda ya ziwa yote tuwe sehemu ya Rwanda.Tuachane na Hawa wasiojitambua ccm ambao wameletanumasikini uliokithiri Kwa miaka 64 ya utawala wao
 
Tutamuomba mzalendo wa afrika kagame aimege Kanda ya ziwa yote tuwe sehemu ya Rwanda.Tuachane na Hawa wasiojitambua ccm ambao wameletanumasikini uliokithiri Kwa miaka 64 ya utawala wao
upo sahihi
 
Tutamuomba mzalendo wa afrika kagame aimege Kanda ya ziwa yote tuwe sehemu ya Rwanda.Tuachane na Hawa wasiojitambua ccm ambao wameletanumasikini uliokithiri Kwa miaka 64 ya utawala wao
Unasema?
Wanyarwanda mpo wengi sana Tanzania, kuna siku mtafinywa na hamtaamini..
 
Tutamuomba mzalendo wa afrika kagame aimege Kanda ya ziwa yote tuwe sehemu ya Rwanda.Tuachane na Hawa wasiojitambua ccm ambao wameletanumasikini uliokithiri Kwa miaka 64 ya utawala wao
Hahahaaaaaa

Unaruka mkojo kukanyaga mavi
 
Kaskazini Tanga, Kimanjaro, Arusha, Manyara
Ikiwa nchi ndani miaka 20 itakuwa nchi yenye maendeleo makubwa.
kwahyo shida itakua ni nini kwanin Tz inakosa maendeleo ? unaposema hiyo mikoa ikijitenga itafika mbali baada ya miaka ishirini
 
Back
Top Bottom