yule jamaa jirani ni mpuuzi sana, kafanikiwa congo mashariki kwa banyamulenge kujiona wanatengwa na serikali. Serikali ya huko ikashindwa kudhibiti mentality ya kujitenga eneo la mashariki wakaanzisha uasi mgogoro mkubwa ukaibuka. Sasa kama muhuni huyu akiamua kupandikiza mentality kwa kanda ya ziwa ijione ni kubwa na ina utajiri kuweza kuwa nchi anaweza tu ikiwa system ya nchi ni dhaifu litaibuka jitu la kanda ya ziwa na kuazisha harakati za kujitenga likidai madai mbalimbali na hilo jamaa jirani litaingiza jeshi lake kuwasaidia kanda ya ziwa kujitenga kama linavyofanya congo mashariki. Yule jirani mwingine naye ataingiza jeshi upande ule akidai analinda mipaka yake. Cha kufanya mwanasiasa, mwanadini, mkabila na mkanda yeyote atakayejitokeza kuleta mentality ya kutenga eneo la kanda ya ziwa adhibitiwe mapema