Laki Moja yako itakupa milioni 3 kwa miezi 3 tu

Arusha wameshazoea kunywa banana aka tunda, juice wap na wap
 
Sio kazi halali sababu huwezi nambia niifanye biashara flani ambayo hujawaifanya
Lakini kuna ambao huwa wanamotivatw watu kufanya walichowahi kufanya. Madhalani, Mh. Eric James Shigongo( sijui kama bado ni MOTIVATIONAL SPEAKER), nilikuwa nikimkubali sana kwenye hilo eneo!

Kuna na Joel Nanaukwa! Mbona ni watu sahihi kwenye hilo eneo mkuu?
 
Sioni usahihi wao , kwa sababu 90 percent mambo yao ni theory za kusoma
 
Lakini zimewasaidia. Kuna shida gani mtu kukufundisha kile kilichomsaidia yeye?

Kumbuka, asilimia kubwa ya watu waliofika mbali ni wale waliokubali kukaa juu ya "mabega" ya watu waliowatangulia.
 
Back
Top Bottom