MWL RAMADHANI ATHUMANI
Member
- Jun 8, 2024
- 85
- 105
Kwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kuwakejeli motivational speakers? Kwani hiyo siyo kazi halali?Motivational speakers on fire
Sio kazi halali sababu huwezi nambia niifanye biashara flani ambayo hujawaifanyaKwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kuwakejeli motivational speakers? Kwani hiyo siyo kazi halali?
Lakini kuna ambao huwa wanamotivatw watu kufanya walichowahi kufanya. Madhalani, Mh. Eric James Shigongo( sijui kama bado ni MOTIVATIONAL SPEAKER), nilikuwa nikimkubali sana kwenye hilo eneo!Sio kazi halali sababu huwezi nambia niifanye biashara flani ambayo hujawaifanya
Sioni usahihi wao , kwa sababu 90 percent mambo yao ni theory za kusomaLakini kuna ambao huwa wanamotivatw watu kufanya walichowahi kufanya. Madhalani, Mh. Eric James Shigongo( sijui kama bado ni MOTIVATIONAL SPEAKER), nilikuwa nikimkubali sana kwenye hilo eneo!
Kuna na Joel Nanaukwa! Mbona ni watu sahihi kwenye hilo eneo mkuu?
Lakini zimewasaidia. Kuna shida gani mtu kukufundisha kile kilichomsaidia yeye?Sioni usahihi wao , kwa sababu 90 percent mambo yao ni theory za kusoma