Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
"No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye taasisi za dini, za Kikristo na taasisi za Kiislamu kuwaeleza maana ya No Reforms No Eelction. Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!