Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani.
Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua pia yule mpya haijulikani kama atamaliza nae muhula.
Kashafanya kazi na makatibu wakuu wa chama chake kama watano hivi au wanne.
Kashafanya kazi na wao kule wanawaita makatibu wenezi wa sera sijui na education kwa umma kama 8 hivi.
Kashafanya kazi na mawazili wakuu watatu.
Kule Malawi wanaita Director of National security ambako sisi huku Kwa kiswahili tunaita mkurugenzi wa usalama wa Taifa.Yule rais wao kule kashafanya nao kazi wakutosha mi wengine niliacha kufatilia sasa.
Wakurugenzi wa habari ikulu kashafanya nao kazi mpaka sasa ni wengi wa kutosha tu niliacha kufatilia.
Kule Malawi wao wanawaita Head of Parliament kashafanya nao kazi watatu sijajua sisi huku kwa kizungu sahihi tunawaitaje.
Kashafanya kazi na wenyeviti wasaidizi ndani ya chama chake kama wanne hivi.
List ni ndefu sana hata kama ni demokrasia mtu ku rezine lakini Kuna namna yule kiongozi wao nae anachangamoto zake.