Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Jamani Muoneeni huruma.. kushindwa kubaya jamani.. keshaona maji yameshamfika.. inauma.. akikumbuka Pesa aliyokopa kwenye ile SACCOS yake huko Igunga na Malampaka, CUF wamemtawanyikia, Lipumba wakati muhimu kama huu wa kumpa support yeye anapanda Dege kaenda zake USA kusaka pediem za Proposal yake.. njaa anaona Inanukia, Mgao wa mahindi ambao yeye alipangiwa kama msimamizi wa kanda na alipanga angechakachua vilivyo sasa ameshaukosa.. uchaguzi unaisha, ubunge anaukosa.. madeni H'UH'A..
Kwanini mbaba wa watu asirusherushe vijikonde potelea mbali hata kama ni kujisaidia sebuleni ukwenini.. watu weshapagawa ati.. chezea siasa.. wewe..
Kwanini mbaba wa watu asirusherushe vijikonde potelea mbali hata kama ni kujisaidia sebuleni ukwenini.. watu weshapagawa ati.. chezea siasa.. wewe..